TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Mkuu proskaeur Nadhani wewe umemuelewa ndo maana mimi GHAZWAT nampiga mawe ya utosi mpaka aache Unafiki wake ajipambambanue ili watu wajue wanaongea na nani hapa, japo Kwangu binafsi najua kuwa huyu ni Utopolo Pure..!
Huyu bwana nimemfatilia kwenye nyuzi nyingi sana, yaanj ni pure Yanga lakini huwa anajifanya kujificha kwenye sina ushabiki na porojo nyingi

Na mara nyingi mimi huwa nam_quote namuonesha unafiki wake, Ila akiona amepuyanga anakaa kimya

Mfano jana kwenye uzi mmoja kuhusu Manara kuingia uwanjani alicomment eti "Leo mtalala na viatu", akimaanisha mashabiki wa Simba waliokua wanapinga hilo jambo,

Ikabidi nim_quote nikamwambia hatimaye umeamua kuonesha rangi zako halisi, akapotea hakujibu tena

So huwa namuona naishia kucheka tu mwenyewe, kwani ukijitanabaisha kuwa wewe ni mwanayanga ama mwanasimba kama ulivyo Ghazwat mwana LUNYASI lia lia watu watakuua??
 
Huu ugomvi ni Manara Vs Karia. Ubabe ubabe. TFF ina tumika vibaya. TFF ili bugi kuto muita Karia kamati ya Maadili.

Ngoja tuone mwisho wa hii movie. Wakimfungia maisha, Manara wapeleke Mahakama za Kawaida. Uta funguliwa vyote. Kesi lazima usikilize pande mbili zote.
 
Sasa Hersi anahusika vipi unafikiri Hersi anaweza kufanmya maamuzi bila kamati tendaji ya club? TFF hawa mi wahuni tu.
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Akikujibu nijulishe, akili atakuwa amezirudisha mahala pake, hajui kama Mhandisi kaitwa hapo kama taasisi akiwakilisha klabu yake ya wahuni hiyo.
Kwani TFF (na vyombo vyake) inapowasiliana na Yanga kimaandishi kwenye masuala mengine huwasiliana na Manji/Msola/Hersi au Mwenyekiti/Rais wa Yanga?
 
Alietoka alikuwa ni ceremonial leader.
Na huyo mshindo msola cha ajabu eti ndo alikuwa kipenzi cha makolo 😂😂😂😂 miaka minne mfululizo makolo yanatutesa na ubingwa huku yakifurahia timu ya Yanga ikiendeshwa na watu wapolewapole kama msola.
Toka ameingia Hersi makolo yamenuna balaa 😂😂😂😂
 
Huyu Manara ni mjinga kupita kiasi,
Kwani haoni wenzake wanatumikia hizo adhabu bila kuleta jeuri yoyote.

Haji una nini cha pekee kuliko akina Shafii Dauda na wengine!!!! Nahisi ushamba na ulimbukeni unakusumbua ndugu yetu.

Unatumia mabavu mno katika kuutweza uongozi wa mpira hapa nchni halafu akina engineer wa Mchongo wana kusapoti.

Watanzania tuungane pamoja (bila kujali utofauti wa timu zetu)katika kumpinga huyu byut byuti.

Who is Haji Manara by the way!!!
 
Watu mnachangia huu uzi mnatakiwa kuelewa ukiwa kiongozi wa taasisi maana yake wewe ndo upo responsible kwa makosa ya taasis yako.

Ndo mana taasis ikiboronga.. anayeliwa kichwa ni CEO
Nyinyi ndo wanasheria uchwara . unasema taasisi ikiboronga anayeliwa kichwa ni CEO. sasa imekuwaje Yanga inaye CEO wake lakini aliyeitwa ni RAIS WA YANGA?
 
Safi sana TFF ifike hatua dharau zifike mwisho.
mnajua kabisa huyu mtu ana adhabu bado mnampa maiki atangaze wachezaji wenu.hata Kama ni MC ile ni shughuli ya mpira sio msiba Wala harusi.
Ingekuwa ni msiba wa utopolo amekwenda kufanya uMC hapo sawa.
Mimi nashauri ili adabu iwepo.
UTOPOLO WASHUSHWE DARAJA
Mimi napendekeza Yanga ifutiwe usajili kabisa maana inakera na ni kikwazo kwa timu yetu pendwa weKUNDU wa kule Msimbazi.
 
Nyinyi ndo wanasheria uchwara . unasema taasisi ikiboronga anayeliwa kichwa ni CEO. sasa imekuwaje Yanga inaye CEO wake lakini aliyeitwa ni RAIS WA YANGA?
Kama CEO ndiye top leader kwenye taasisi atawajibishwa yeye ila kama kuna top leader juu ya CEO basi huyo ndo anakuwa responsible.
 
Kwani TFF (na vyombo vyake) inapowasiliana na Yanga kimaandishi kwenye masuala mengine huwasiliana na Manji/Msola/Hersi au Mwenyekiti/Rais wa Yanga?
Soma barua ya Tff mkuu, mimi sijaandika barua, kama Yanga wangelikuwa hawajafanya kosa hiyo barua ya nini sasa.
 
Na huyo mshindo msola cha ajabu eti ndo alikuwa kipenzi cha makolo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miaka minne mfululizo makolo yanatutesa na ubingwa huku yakifurahia timu ya Yanga ikiendeshwa na watu wapolewapole kama msola.
Toka ameingia Hersi makolo yamenuna balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanya kipi cha maana huyo engineer wa mchongo?

Usajili wote tangu Mshindo akiwa mwenyekiti alkuwa anafanya Hersi sasa ni kipi alichokifanya?

Hersi injinia wa mchongo ni gold digger pale Yanga yupo kimkakati tu sio vinginevyo.
 
Naona imekugusa?? Yeye mbna huwa anadhihaki watu wazi wazi?? Mnavompa bichwa ndo anajikutaaaaa.

Wampuuze akichoka ataacha,
1659859748020.png
 
Nyinyi ndo wanasheria uchwara . unasema taasisi ikiboronga anayeliwa kichwa ni CEO. sasa imekuwaje Yanga inaye CEO wake lakini aliyeitwa ni RAIS WA YANGA?
Tayari TFF wamefanya kosa lingine la kikanuni
Rais wa yanga sio mtendaji mkuu wa club kesi Haina macho

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyu Manara ni mjinga kupita kiasi,
Kwani haoni wenzake wanatumikia hizo adhabu bila kuleta jeuri yoyote.

Haji una nini cha pekee kuliko akina Shafii Dauda na wengine!!!! Nahisi ushamba na ulimbukeni unakusumbua ndugu yetu.

Unatumia mabavu mno katika kuutweza uongozi wa mpira hapa nchni halafu akina engineer wa Mchongo wana kusapoti.

Watanzania tuungane pamoja (bila kujali utofauti wa timu zetu)katika kumpinga huyu byut byuti.

Who is Haji Manara by the way!!!
Watanzania tuungane pamoja (bila kujali utofauti wa timu zetu)katika kumpinga huyu byut byuti.

Who is Haji Manara by the way!!!
Kama ni Who is Haji Manara by the way!!! kwaninini unaomba kolabo?
 
Back
Top Bottom