proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,924
Huyu bwana nimemfatilia kwenye nyuzi nyingi sana, yaanj ni pure Yanga lakini huwa anajifanya kujificha kwenye sina ushabiki na porojo nyingiMkuu proskaeur Nadhani wewe umemuelewa ndo maana mimi GHAZWAT nampiga mawe ya utosi mpaka aache Unafiki wake ajipambambanue ili watu wajue wanaongea na nani hapa, japo Kwangu binafsi najua kuwa huyu ni Utopolo Pure..!
Na mara nyingi mimi huwa nam_quote namuonesha unafiki wake, Ila akiona amepuyanga anakaa kimya
Mfano jana kwenye uzi mmoja kuhusu Manara kuingia uwanjani alicomment eti "Leo mtalala na viatu", akimaanisha mashabiki wa Simba waliokua wanapinga hilo jambo,
Ikabidi nim_quote nikamwambia hatimaye umeamua kuonesha rangi zako halisi, akapotea hakujibu tena
So huwa namuona naishia kucheka tu mwenyewe, kwani ukijitanabaisha kuwa wewe ni mwanayanga ama mwanasimba kama ulivyo Ghazwat mwana LUNYASI lia lia watu watakuua??