TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Mkuu nilichojaribu kukiangalia siyo nguvu ya Haji Manara bali tuungane kuukataa upumbavu wake kwa sababu anaidhalilisha sekta ya michezo
Makolo ni wapumbavu na wanafiki . huo udhalilishaji wa manara umeanza toka amehamia yanga? Wakati yuko simba alitukana Mara ngapi? Je mliwahi kumkanya au kupiga kelele kama Leo hii?
Ukweli ni kuwa haya mahovyohovyo ya manara na ukeraji wake ndo vinachangia mafanikio ya timu kwa namna moja ama nyingine . Tuliona wakati akiwa simba jinsi alivyokuwa anawakejeli upande wa pili na mafanikio na kweli simba ilifika mbali kimafanikio. Amehamia yanga kaendeleza style ileile na wote mmeona mafanikio ya timu. Nawahakikishia Leo manara akisema arudi simba makolo yote yatashangilia.
 
Wawafungie maisha kabisa.Kwanza wameniudhi kumuweka Bumbuli pembeni,wakati wa shida Bumbuli tulikuwa nae sasa kwenye raha wanamuweka pembeni.
Mabadiliko huja na maumivu mama . soka la bongo huwezi kuwa na watu laini laini kama hao akina bumbuli na ukategemea upate mafanikio kiurahisi . wakati mwingine unahitaji watu wa kujitoa akiri ndo mambo yanasonga. Nugaz na Bumbuli tumekuwa nao toka lini ? Na walitufikisha wapi?. Huyu aliyekuja msimu mmoja tu tumeona na mafanikio yake. Kwa mpira huu na hii TFF ya Karia. Huwezi kuwa na watu kama mshindo msola, Nugaz, Bumbuli ukategemea kutoboa never ever.
 
Manara kaleta lipi jipya ?Pale Yanga ilitakiwa Pesa tu.
 
Dada kampikie mumeo utapewa taraka ya bure,. Yaani na uzuzu wako unafikiri mpira wa bongo ni pesa tu ndo inaleta mafanikio?😂😂😂 kuna timu inapesa kama Azam? . unaweza kuona mahovyohovyo ya manara ukaishia kumwona ni mwehu . lakini kwa taalifa yako ndo msemaji aliyechukua makombe mengi kuliko hao unaowaona wako vizuri. Wakati yuko simba manara anatangulia mkoani wiki moja kabla ya mechi . Nafikiri uliona mafanikio ya simba ya manara. Kaja yanga mwendo ni uleule hukuyaona mafanikio ya timu msimu uliopita.?
 
Makolo ni wapumbavu na wanafiki . huo udhalilishaji wa manara umeanza toka amehamia yanga? Wakati yuko simba alitukana Mara ngapi? Je mliwahi kumkanya au kupiga kelele kama Leo hii?
Ukweli ni kuwa haya mahovyohovyo ya manara na ukeraji wake ndo vinachangia mafanikio ya timu kwa namna moja ama nyingine . Tuliona wakati akiwa simba jinsi alivyokuwa anawakejeli upande wa pili na mafanikio na kweli simba ilifika mbali kimafanikio. Amehamia yanga kaendeleza style ileile na wote mmeona mafanikio ya timu. Nawahakikishia Leo manara akisema arudi simba makolo yote yatashangilia.
Yes ni kweli Manara alikuwa mpumbavu tangu yuko simba lakini kuna watu makini pale Unyamani hawakupenda Upopoma wake.

Nakukumbusha kuwa kilichotuacha watu midomo wazi ni kitendo chake cha kukaidi nyundo aliyopigwa na kamati ya maadili ya TFF na huu ndo msingi wa hoja yangu.

Pia kufanya kosa akiwa Simba na kuchekelewa haihalalishi kuchekelewa tena akiwa Jangwani.

Mkuu ukiacha mahaba niue, Haji is nothing but poisonous snake to our football.
 
Wanatamba kwamba wao ndiyo Serikali na Serikali ndiyo CCM ama wananchi ukipenda...na wananchi ndiyo Yanga.

Wacha tuone.
 
Mimi nilijuwa mwenye nguvu akitaka kumtia adabu asie na nguvu huwa hahitaji kolabo.
Mfano US alienda kumkamata Rais wa nchi ya Nicaraque bila kolabo, aliwahi kuishambulia ikulu ya Gadaffi kwa lengo la kumuua bila kolabo.
Otherwise ile sentensi ya mwisho ilikuwa haihitajiki pale.
Yes inawezekana ilikuwa haihitajiki lakini inategemea dhamira ya mtumiaji wa hiyo kauli.

Nachokusudia ni kwamba tuache unazi katika Upopoma wa Manara. Kwa mfano Kamati ya maadili ya TFF imempa adhabu Haji lakini kuna Watanzania (baadhi) wanaona jamaa kaonewa bila kujali makosa yake.

So kolabo ninayokusudia hapa ni ile ya kutambua kuwa Haji amekosea na anastahiki kuadhibiwa kama wanavyoadhibiwa wengine na kuacha ile hali ya kumbeba kwenye utovu wake wa nidhamu.

Naamini umenielewa.
 
Dada kampikie mumeo utapewa taraka ya bure,. Yaani na uzuzu wako unafikiri mpira wa bongo ni pesa tu ndo inaleta mafanikio?😂😂😂 kuna timu inapesa kama Azam? . unaweza kuona mahovyohovyo ya manara ukaishia kumwona ni mwehu . lakini kwa taalifa yako ndo msemaji aliyechukua makombe mengi kuliko hao unaowaona wako vizuri. Wakati yuko simba manara anatangulia mkoani wiki moja kabla ya mechi . Nafikiri uliona mafanikio ya simba ya manara. Kaja yanga mwendo ni uleule hukuyaona mafanikio ya timu msimu uliopita.?
Mkuu tuwe wakweli pale hamna timu ya kufika walau makumdi ya CAF champions.

Aziz key hawesz kucheza peke yake...Na huyo Joyce na yeye bado saana.

Hamna muunganiko, holding midfield wasiwasi...Matobo mengi mno.

Aisee kazi ni kubwa !!
 
Wewe mbumbumbu watu wanaongelea kesi ya yanga na tff wewe unarukia kuwa timu haifiki kokote CAF champions.
NB: ubora wa timu huwezi kuupima kwa game moja. Msimu uliopita muda kama huu . kabla ya ligi kuanza Makolo ndo mlikuwa mnapiga kelele kuwa Mayele sio chochote lakini ndo aliyewatoboa ngao ya hisani na akatupa makombe mawili, na fitna mkampiga kwa kumnyima ufungaji bora .
 
Back
Top Bottom