Faki zati mazafaka!View attachment 3496347
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vimetumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji hao.
Aidha, alibainisha kuwa serikali haina takwimu rasmi kuhusu idadi ya waliopoteza maisha.
Huyu mseengee atembelewe na kurejesha kwao akiwa kwenye sanduku nyambaff kabisa. Hata hivyo, tumshukuru kwa kuzidi kumwaga mafuta kwenye motoView attachment 3496347
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vimetumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji hao.
Aidha, alibainisha kuwa serikali haina takwimu rasmi kuhusu idadi ya waliopoteza maisha.
Hapo kwenye bold dogo The Icebreaker katoka kapa maamae πππhata kama ni mmoja, one death is too many, the jig is up ...
Hatuna mawaziri because baraza limevunjwa kwa ajili ya uchaguzi. huyu jamaa anaongea kwa mamlaka gani?View attachment 3496347