GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?" amesema Thabit Zaka za Kazi Msemaji wa Azam FC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?