Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kusikia ktk mpira refa akasimamisha watu wakaswali?
Wapangiwe mechi saa 8 mchana"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?" amesema Thabit Zaka za Kazi Msemaji wa Azam FC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
napendekeza Tabora waitwe nyuki wa shughuli
Hahaha. Umenifurahisha sana na hili swali. Taa gani inamulika mchezaji mmoja tu? Na mechi za mchana nani anapunguza mwanga wa jua?"mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?"
Mpira kwa muislam ni HARAMHawez kusimamisha mchezo kwa kuwa kila mchezaj anadin yake. Kama we unahitaj kuswal unaweza kuomba kutolewa uwanjan ukaenda zako nje ukafanya hizo ibada.
Hata hivyo mpira mara nying unachukua saa moja na nusu tu hivo kama unaona kuna swala itakuta ukiwa uwanjan unaweza swal kabla hujaingia kwenye pitch, na hata kama kuna swala imekupita ukiwa kwenye mchezo unaweza ilipa ukimaliza mchezo.
yeye ndiye mjinga wa kiwango cha euro kujibu ujinga wa ally kamwe...sio kila shabiki wa yanga anabeba kila anachosema ally kamwe na kwa levo zake zaka alitakiwa kuwa hivyo na si kujibu jibu ujinga kisa kuna mshabiki wamemuamini ally"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?" amesema Thabit Zaka za Kazi Msemaji wa Azam FC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
Mpira kwa muislam ni HARAM
Hakuna hadithi sahihi inayomtaja moja kwa moja Mtume Muhammad (SAW) kuharamisha mchezo wa mpira wa miguu au mchezo wowote maalum kwa jina. Hata hivyo, kuna hadithi zinazotoa mwongozo kuhusu maadili na mipaka ambayo waumini wanapaswa kuzingatia katika kushiriki michezo au shughuli za burudani, ikiwemo kuepuka matumizi mabaya ya muda, kuchanganyika kwa njia isiyofaa, na kuhakikisha kuwa michezo haiwaondolei majukumu ya kidini.Lete aya ya Quran, hadith au hata kauli ya mwanazuoni inayosema mpira ni haram.
(Sunan al-Tirmidhi)"Miongoni mwa uzuri wa Uislamu wa mtu ni kuacha yale yasiyomhusu."
(Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim)"Hakika, kila mmoja wenu ni mchungaji, na kila mmoja ataulizwa juu ya wachunga wake."
Leta andiko la QuranMpira kwa muislam ni HARAM
Andiko la Quran ndilo hitimisho wanazuoni wanatoa mawazo yao tu ambayo hayana madhara yoyote usipoyazingatia (si dhambi)Hakuna hadithi sahihi inayomtaja moja kwa moja Mtume Muhammad (SAW) kuharamisha mchezo wa mpira wa miguu au mchezo wowote maalum kwa jina. Hata hivyo, kuna hadithi zinazotoa mwongozo kuhusu maadili na mipaka ambayo waumini wanapaswa kuzingatia katika kushiriki michezo au shughuli za burudani, ikiwemo kuepuka matumizi mabaya ya muda, kuchanganyika kwa njia isiyofaa, na kuhakikisha kuwa michezo haiwaondolei majukumu ya kidini.
Kwa mfano, Mtume Muhammad (SAW) alisema:
(Sunan al-Tirmidhi)
Pia kuna hadithi inayosisitiza umuhimu wa kutumia muda kwa mambo yenye faida:
(Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim)
Kwa hiyo, wanazuoni wanasisitiza kuwa ikiwa mchezo unachezwa kwa kuzingatia maadili ya Kiislamu, kama vile kutovuruga ibada, kutovaa mavazi yasiyofaa, na kutofanya mambo yanayokiuka mipaka ya Kiislamu, basi hauna madhara. Lakini iwapo unapelekea upotevu wa muda wa ibada au kuvunja maadili, wanazuoni wengi wanashauri kuepukana nao.
MPIRA UNAVAA BUKTA, RAMADHANI UNAECHEZWA, KUNA KAMARI NDANI YALE. WANAWAKE WANAHUDHURIA
Hakuna hadithi sahihi inayomtaja moja kwa moja Mtume Muhammad (SAW) kuharamisha mchezo wa mpira wa miguu au mchezo wowote maalum kwa jina. Hata hivyo, kuna hadithi zinazotoa mwongozo kuhusu maadili na mipaka ambayo waumini wanapaswa kuzingatia katika kushiriki michezo au shughuli za burudani, ikiwemo kuepuka
Nini?Sahihi
Nini?Nini?
Umesema sahihi. Nikataka kujuwa nini sahihi?Nini?
Alichosema yupo sahihi.Umesema sahihi. Nikataka kujuwa nini sahihi?