GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kazi ipo!"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?" amesema Thabit Zaka za Kazi Msemaji wa Azam FC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
wali zuri sanaaaaa."Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao huwa hawaoni vizuri?" amesema Thabit Zaka za Kazi Msemaji wa Azam FC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One usiku huu.
Zaka za Kazi unadhani aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
Naona kwa Usiku huu ID ya The Legacy umeipumzisha.Habari hizi za Kishambenga huwa unazipenda kishenzi!
We Huwezi kaa bila kunitajataja ndugu,ID yangu ni hii tu moja sina ID nyingine.Naona kwa Usiku huu ID ya The Legacy umeipumzisha.
Mkuu njoo upumzike kifuani kwangu huku nikishika hizo nywele zako ulizosuka Kwa ustadi mkubwa!Naona kwa Usiku huu ID ya The Legacy umeipumzisha.
Watu wanadungwa sindano kama ng'ombe watakuwaje na akili
Zaka amwsema si Ali Kamwe tu, hata mashabiki mnaomuunga mkono wote ni wajingaZaka zakazi l, hamedi hali hao ni waimba taarabu unakuwaje msemaje wa timu alafu hata ubingwa wa wizi huna, we ni takataka tu
Ndio maana mpira ikawa haramuAli kamwe anaidhalilisha taaluma yake..!
Ndio maana mpira ikawa haramu
Ushawahi kusikia ktk mpira refa akasimamisha watu wakaswali?Mpira sio haram mkuu, michezo yote ni halali.