Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nilitegemea maoni kama haya toka Kwa Mtu anayejua soka ni nini. Tuache kuandika ujinga ujinga as if hapa Tanzania kuna mashindano yanaizidi thamani CAFCC. Timu zimeshiriki Mapinduzi Cup halafu zinadharau CAFCC?Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.
Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.
Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.
Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.
Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.