Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.

Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.

Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.

Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.

Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
Nilitegemea maoni kama haya toka Kwa Mtu anayejua soka ni nini. Tuache kuandika ujinga ujinga as if hapa Tanzania kuna mashindano yanaizidi thamani CAFCC. Timu zimeshiriki Mapinduzi Cup halafu zinadharau CAFCC?
 
Kifupi atakayechukua kombe la CAF confederation cup atakuwa kazidi aliyeishia robo fainali CAF champions league kwa kila kitu
Siyo kweli mkuu kwa maana ya hela, hela ya robo fainali klabu bingwa Ni nyingi kuliko ya anayechukua kombe la shirikisho.

Hapa imezungumziwa hela na so kitu jingine!
 
Hela ya kuingia robo fainali klabu bingwa Ni nyingi kuliko aliyebeba ubingwa wa shirikisho.

Hili Ni jukwaa la michezo.Na haha ulikuwa huyajui.

Ingekua huteseki ZAIDI na ZAIDI na kuumia ungepiga TU kimya.

Kitendo Cha kukomenti hivyo maana yake unateseka mno

Wewe ni mpumbavu, there is money and crown, it is not all about money, na pia, kukosa 1bn sio sababu ya kuacha kuitafuta 500m, hauoni kama unaongea ujinga?

Ina maana simba ingekuwa ina nafasi ya kuendelea na shirikisho sasa hivi wangeacha? Mbona wanahangaika na ligi kuu Tanzania bara na Azam?

Mbona ujafananisha hilo kombe na ligi kuu na Azam, shida ni pale simba inapoweka malengo yake kama ni mashindano na Yanga, ndo maana wanafeli.
 
Kwan aliyofuzu yanga ni confederation au champion ligi ERoni
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kwanin wew unaishi wapi hujui timu yako inacheza kombe gani. Umetoka sayari gani?

Yanga inacheza caf confederation cup/kombe la shirikisho. Imeingia nusu fainali.

Hela ya kuingia robo fainali Ni nyingi kuliko ya aliyechukua kombe la shirikisho.

Umeona uthamani ulivyo mbingu na ardhi Kati ya haya makombe mawili.

Hela aliyolipwa Simba ya robo fainali Ni nyingi kuliko Yanga kuchukua kombe.
 
Uko sahihi,
Lakini na Ugumu wa Michuano nao unachangia Mkuu.
Jaribu kufikiri Leo angekua ndio Yanga anacheza na Bingwa Mtetezi Wydad Casablanca angemtoa kirahisi kama alivyomtoa Rivers?

Labda next year tujitoleshe Championship ili tuangukie Confederation tujaribu bahati yetu huko. Sababu huko timu zake sio ngumu sana kama za Championship.
Mbona msimu uliopita mlitolewa caf champions league mkaangukia confederation na hamkufika nusu fainali
 
Yaani mafanikio yetu ni kutofungwa magoli mengi, eti ndo twalifurahia.
Eti tumetokea penati

Upumbavu mtupu
Hama timu uende huko utakapopata furaha, tuachie Simba yetu.

Sii hatuchezi makombe ya mbuzi
 
Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.

Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.

Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.

Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.

Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
Mada inahusu thamani ya mashindano.
 
Simba tumefanya makosa
Mechi ya Dsm tulitakiwa kuimaliza mapema, kocha akawaelekeza wachezaji wacheleweshe mipira ikitoka.
Mpira unatoka unaona Kapombe anatembea kama hataki, sekunde zinakatika...

Kocha akachelewa fanya sub, alipofanya akaweka mabeki

Tumeenda Moroco mchezo ukawa huo huo
Wachezaji hawajitumi kushambulia wao wanazuia tu huku wakijua fika ni wabovu kwenye penati.

Afu eti tumetoka kiume, huo ni upumbavu na wenda wazimu
Usilaumu wachezaji pale ndio uwezo wao ulipoishia.

Simba kama inataka kufika mbali zaidi kwa mashindano ya kimataifa basi usajili wa maana unahitajika.
 
Siyo kweli mkuu kwa maana ya hela, hela ya robo fainali klabu bingwa Ni nyingi kuliko ya anayechukua kombe la shirikisho.

Hapa imezungumziwa hela na so kitu jingine!
Haya ili ionekane ni nyingi useme hapa anayechukua ubingwa wa Caf confederation cup anabeba usd ngapi na anayeishia robo fainali klabu bingwa anachukua usd ngapi. Maana unaonekana hata hesabu ndogo tu zinakushinda.
 
Kwema Wakuu,

Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.

Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
View attachment 2605473
View attachment 2605474
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
3rd in group CL anakula pesa ndefu kuliko Semi finalist wa CC????

mmmmhhhhhh...............
 
Hakuna walicho izidi simba maana kombe walio kuwa wanashiriki wote Yanga alitolewa mapema sana kabla ya Simba.

Mashindano aliyo kuwa anashiriki Simba na anayo shiriki Yanga kwa sasa ni tofauti na yana hadhi ya tofauti na mashindano anayo shiriki Yanga kwa sasa yana hadhi ya chini.
Hivi mnavyosema kombe la shirikisho lina hadhi ya chini mnajifyetua akili au..

Maana bigwa wa ushirikisho atakutana na bigwa wa champion then mshindi ndio anahesabika bigwa wa africa sasa hapo inakuwaje hii..
 
Unapobisha Basi uwe na hoja mbadala, hizi ndizo hela zinazolipwa kombe la shirikisho.

Leta hoja y'all Basi.
Uwezo wangu wa maarifa una nizuia ku argue na mtu anae tumia Wikipedia kama primary source .may be kama una ombi la elimu ya ziada nkupe somo la bure
 
Simba tumefanya makosa
Mechi ya Dsm tulitakiwa kuimaliza mapema, kocha akawaelekeza wachezaji wacheleweshe mipira ikitoka.
Mpira unatoka unaona Kapombe anatembea kama hataki, sekunde zinakatika...

Kocha akachelewa fanya sub, alipofanya akaweka mabeki

Tumeenda Moroco mchezo ukawa huo huo
Wachezaji hawajitumi kushambulia wao wanazuia tu huku wakijua fika ni wabovu kwenye penati.

Afu eti tumetoka kiume, huo ni upumbavu na wenda wazimu
Simba hamna sub ya kubadilisha matokeo huo ndio ukweli wenyewe, pili kocha wenu sio mzuri kwenye kuswitch mifumo.
 
Uko sahihi,
Lakini na Ugumu wa Michuano nao unachangia Mkuu.
Jaribu kufikiri Leo angekua ndio Yanga anacheza na Bingwa Mtetezi Wydad Casablanca angemtoa kirahisi kama alivyomtoa Rivers?

Labda next year tujitoleshe Championship ili tuangukie Confederation tujaribu bahati yetu huko. Sababu huko timu zake sio ngumu sana kama za Championship.
Kwa hiyo kwa kuwa ww umeshindwa na Yanga angeshindwa, mpira haupo hivyo mbona Azam kakugonga msimu huu ila Azam kapigwa na Yanga.
 
Nilitegemea maoni kama haya toka Kwa Mtu anayejua soka ni nini. Tuache kuandika ujinga ujinga as if hapa Tanzania kuna mashindano yanaizidi thamani CAFCC. Timu zimeshiriki Mapinduzi Cup halafu zinadharau CAFCC?
Akuna anaye yadharau ila ni kuweka sawa mambo.
Huwezi sema Yanga ni bora zaidi ya Simba hali ya kuwa wote walikuwa kwenye mashindano ya aina moja na yanga ikatolewa mapema kabla ya simba.

Simba na yanga walikuwa wanashiriki mashindano mawili tofauti ,Simba alikuwa anashiriki mashindano ya kiwango cha juu kuliko yote barani Afrika hali ya kuwa yanga ilikuwa inashiriki mashindano ya kiwango cha chini hivyo ni uzezeta kuwalinganisha.
Tungeweza kuzishindanisha iwapo wote wangakuwa wanashiriki mashindano ya aina moja.
 
Simba amepata nini ,
Screenshot_20230501-071610_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom