Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Yaani kidume niombe msamaha....hiyo inakwenda na kinyume na uanaume.....kwa kweli itakuwa ngumu....ni mwendo wa kimya na yeye akikaa kimya natafuta mwingine....wapo wengi mpaka zingine tunauziwa.....
 
Bestiiiiiiii!!!!!!
 
Kwangu nakosewa halafu linageuziwa kwangu na mtu analia kabisa nishamjulia na mwamboea nisamehee maana mizigo yote ya makosa ni yangu.
 
Me aninunulie zawadi na akishaileta anikumbatie






 
hahahahaaaaa,,,, mwanaume kugoma kuomba msamaha ni asili......iko kwenye damu hiyo.... aombe msamaha utambe.....!!!!
 
Mi nasema kumradhi... sisemi samahani
 

Mtu akisoma hapa na akawa na macho kweli, basi atajua tofauti kati ya mwanafunzi na mwalimu, au kati ya mvulana mnene na mwanamume mzima!!

Hongera sana Ennie!
 
Last edited by a moderator:
Mtu akisoma hapa na akawa na macho kweli, basi atajua tofauti kati ya mwanafunzi na mwalimu, au kati ya mvulana mnene na mwanamume mzima!!

Hongera sana Ennie!
Heshima yako Babu DC.
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…