mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
haha tupo sehemu tofauti ....
i wish ningekua jirani yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha tupo sehemu tofauti ....
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
huwa wagumu hawa kusema samahani sijui
Mwanaume kamili na rijali hamuombi mwanamke msamaha.....
Bestiiiiiiii!!!!!!Awe mpole niongee lugha zote nimalize!
Inategemea na kosa alilofanya pia,kama ni dogo mie nimeamua tu kulikuza basi awe tu mpole ila kama ni kubwa basi aombe radhi kwa namna yoyote inayofaa.
Samahani kila Mara akosapo zinanikera,zinapoteza maana na zinamshushia hadhi yake kwangu.
Mimi anipe hela tu kuanzia laki mbili namsamehe.... pesa inategemeana na ukubwa wa kosa
Ha ha ha miss chagga wewe unanifurahisha sana kila kitu pesa.
Kwani nyie ni miungu watu?hamna kasoro mmekamilika? Ingekuwa mmekamilika msingemuomba Mungu msamaha, acha kudharau wanawake mkuu.
![]()
![]()
![]()
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani?
Ipi unadhani ni ya dhati?
Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA halafu basi?
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
Bestiiiiiiii!!!!!!
Awe mpole niongee lugha zote nimalize!
Inategemea na kosa alilofanya pia,kama ni dogo mie nimeamua tu kulikuza basi awe tu mpole ila kama ni kubwa basi aombe radhi kwa namna yoyote inayofaa.
Samahani kila Mara akosapo zinanikera,zinapoteza maana na zinamshushia hadhi yake kwangu.
Mimi nikigundua nimekosa ninachofanya ni kuamka asubuhi sana na kujiandalia vitu vyangu mwenyewe bila kumuamsha majeruhi wangu naenda zangu job kimyakimya nikiwa nimeacha hela zaidi kuliko kawaida kwenye dressing
table,siku hiyo ntapiga sana simu kujua mambo yanaendaje hapo home au kazini kwake kama atakua kazini,ile nikitoka tu kazini moja kwa moja uchumi supermarket au mlimani city kuna vitu ambavyo ananipmbaga nimchikulie lakini najifanyaga nipo busy ila kwa siku hiyo namchukulia in excess,baada ya hapo moja kwa moja home tena nikiwa sober cpitii maeneo yetu yale!!!kama kuna mechi ya arsenal siku hiyo naangalizia yumbani sio jackeys tena.....basi hapo utamwona tu anacheka na kusema "we unajifanya mjanja sana,ukirudia teenaa...."..wanawake bwana!!!