Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Samahani ni neno dogo sana,ila lina maana kubwa sana katika maisha! Mfumo dume na kutojtambua ndio kunasababisha baadh ya me wasiombe msamaha!
 
Mimi kuomba msamaha? Hapana aisee... nitayamaliza tu kimya kimya lakini msamaha siombi ng'o!
 
Ahhh!!!! Eli79 nakuamini bwana sema tu samahani kwani unapungua nini kaka? Yaishe haina ujazo bwana.
Gololi One nitakuambia tu yaishe basi...!
Samahani inatolewa kwa sababu maalumu, na kosa kubwa, lakini vikosa vidogo hivi....aaah yaishe, then make up sex, then zawadi ndogo..life goes on..!
 
Last edited by a moderator:
Akiomba msamaha atakuwa sio kidume mxyuuuu usengerema tu....!!!

Unajuwa kuna namna nyingi za mwanaume kuomba msaamaha.. Sasa kama mwanamke ameikariri moja nayo ni shida.. We tumegombana usiku kucha halafu jioni ya siku ya pili narudi na ki-IST nakukabidhi ufunguo... UNADHANI HIYO INAMAANISHA NINI..??
 
Wako wengi na mmoja wapi mume wangu haombi msamahA hata, kikubwa atakununuliaa zawadi atafanya vitu un usual, lakini kusema Mke wangu samahani hasemi hata umfanye nini.... Kubwa atasema Mke wangu nimekudhii eeeeh? Usijali ndio kuolewa Mke wange eeeeh.....
 
Gololi One nitakuambia tu yaishe basi...!
Samahani inatolewa kwa sababu maalumu, na kosa kubwa, lakini vikosa vidogo hivi....aaah yaishe, then make up sex, then zawadi ndogo..life goes on..!

Bado samahani inasimama bwana siukubali tu. Sex sikupi bwana kama husemi samahani bado nageuka kulee!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dada ukishapokea zawadi samahani hakuna tena mimi naiwekaga zawadi yake hapo hata sifungui hadi aniambie samahani wee mie sikubali. Wanaume wanatufanya siye watoto. maana mtoto ukimchapa baadaye unampa pipi basi asema asante mama.
 
Bado samahani inasimama bwana siukubali tu. Sex sikupi bwana kama husemi samahani bado nageuka kulee!!!!!!!!!!!!!!!!
samahani wala sio big deal, cha msingi mtu aonyeshe unyenyekevu, kujutia kile alichofanya na kusema haitotokea tena... na nikisema yaishe namaanisha yote hayo..you see! Nikitumia meneno matamu utaachia tu...and you know how make up sex ilivyo tamu.
 
Wacha bwana. Haya kama umeamua hivyo. Nasema namie "YAISHE" .
 
Kwa mwenye akili na mapenzi ya kweli haoni tabu kusema samahani pale anapokosea au kosolewa, vinginevyo mahusiano yana walakin.

Kweli kabisa kwani ndo mambo tunayo kumbushwa hasa siku kama hii ya leo ya wanaume. Msamaha ni uungwana mkubwa sana,.
 
Inaleta raha sana pale mwanaume anapotambua kosa lake halafu akwambie "samahani mpenzi wangu" hata kama uligubikwa na hasira debe 3 ghafla moyo unakua mwewere!
 
Sihui hata nani aliwaambia nyie wanaume kuomba msamaha unaweza kubadilika njisia! hebu jitambueni kwamba na nyie ni binadamu kama sisi hivyo kuomba msamaha hupungikiwi kitu jamani!

kama ndo hivyo tu basi wadada mna shida sana neno samahan ni neno ujuwe unaweza kuambiwa samahan ya kizushi tu then isiwe na maana yoyote cha msingi ni kumtaka aonyeshe mabadiliko ya kuonyesha kujutia kosa na kutokurudia kabisa
 
Unajuwa kuna namna nyingi za mwanaume kuomba msaamaha.. Sasa kama mwanamke ameikariri moja nayo ni shida.. We tumegombana usiku kucha halafu jioni ya siku ya pili narudi na ki-IST nakukabidhi ufunguo... UNADHANI HIYO INAMAANISHA NINI..??

ntakupokea na mabusu ya hatari....
 
Kuomba samahani kama umetenda kosa wala si kujishusha. Ni kitendo cha ustaarabu na uungwana lakini kama huoni kwamba umetenda kosa basi hakuna sababu ya kuomba samahani.

Last edited by a moderator:
Wanaume jifunzeni kushuka na kuomba msamaha! Hamjui ni kiasi gani inakula kwenu pale unapomkosea mwenza wako kosa kubwa la kuathiri hisia zake kwako,halafu ukajifanya kidume huwezi omba msamaha.huharibu mfumo mzima wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…