Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gololi One nitakuambia tu yaishe basi...!Ahhh!!!! Eli79 nakuamini bwana sema tu samahani kwani unapungua nini kaka? Yaishe haina ujazo bwana.
Mimi kuomba msamaha? Hapana aisee... nitayamaliza tu kimya kimya lakini msamaha siombi ng'o!
Akiomba msamaha atakuwa sio kidume mxyuuuu usengerema tu....!!!
Gololi One nitakuambia tu yaishe basi...!
Samahani inatolewa kwa sababu maalumu, na kosa kubwa, lakini vikosa vidogo hivi....aaah yaishe, then make up sex, then zawadi ndogo..life goes on..!
Wako wengi na mmoja wapi mume wangu haombi msamahA hata, kikubwa atakununuliaa zawadi atafanya vitu un usual, lakini kusema Mke wangu samahani hasemi hata umfanye nini.... Kubwa atasema Mke wangu nimekudhii eeeeh? Usijali ndio kuolewa Mke wange eeeeh.....
samahani wala sio big deal, cha msingi mtu aonyeshe unyenyekevu, kujutia kile alichofanya na kusema haitotokea tena... na nikisema yaishe namaanisha yote hayo..you see! Nikitumia meneno matamu utaachia tu...and you know how make up sex ilivyo tamu.Bado samahani inasimama bwana siukubali tu. Sex sikupi bwana kama husemi samahani bado nageuka kulee!!!!!!!!!!!!!!!!
samahani wala sio big deal, cha msingi mtu aonyeshe unyenyekevu, kujutia kile alichofanya na kusema haitotokea tena... na nikisema yaishe namaanisha yote hayo..you see! Nikitumia meneno matamu utaachia tu...and you know how make up sex ilivyo tamu.
New terms and conditions after msamaha...
Afadhali rafiki uwaeleze msamaha ni kuyamaliza sio unadharauliwa. Napenda sana kitu samahani.
Kwa mwenye akili na mapenzi ya kweli haoni tabu kusema samahani pale anapokosea au kosolewa, vinginevyo mahusiano yana walakin.
afu nna hisi hata wewe kusema ''samahani'' ni ngumu sana.kweli kabisa
Sihui hata nani aliwaambia nyie wanaume kuomba msamaha unaweza kubadilika njisia! hebu jitambueni kwamba na nyie ni binadamu kama sisi hivyo kuomba msamaha hupungikiwi kitu jamani!
Unajuwa kuna namna nyingi za mwanaume kuomba msaamaha.. Sasa kama mwanamke ameikariri moja nayo ni shida.. We tumegombana usiku kucha halafu jioni ya siku ya pili narudi na ki-IST nakukabidhi ufunguo... UNADHANI HIYO INAMAANISHA NINI..??