brayton junor
Member
- Oct 16, 2016
- 12
- 11
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapitafunguka mkuu ili tujue tuna shauri kitu gani.
Safi sana Mkuu lazima umpige kidogo ili ajue unampenda!!!.Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Hapo kwenye machozi pagumu sana kwa wanaume[emoji4] [emoji4] [emoji4]*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry
*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)
*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.
*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)
*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)
*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mfanyie muamala tu wa MPESA kwisha habari hizo zingine mbwembwe tu
Zote hizo%Hahahaha pole mkuu.
Dawa yao ni undege joloe mguu mmoja ndani mguu mwingine nje.
Kupenda siku hizi usidhidishe asilimia 35%.
Hee hata mahari hujalipa ushaanza ngumi...Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Ndio maana nimemwambia asidhidi hapoZote hizo%
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawaNdio maana nimemwambia asidhidi hapo
Ikitokea ndio wa ndoa bac ajaribu kuzifikia ila asidhidi hapo.
Siyo mmechokana kakuchoka wewe[emoji23], ndyo maana akifanya kosa hakubali kama kakosea[emoji45]Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Kaka [emoji23] [emoji23] [emoji23] unetisha*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry
*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)
*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.
*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)
*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)
*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]
mmechokana nyie kutokana na kuzoeana sanaYan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita