Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

funguka mkuu ili tujue tuna shauri kitu gani.
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
 
Safi sana Mkuu lazima umpige kidogo ili ajue unampenda!!!.
 
MBINU ni nyingi ila inategemea na mpenz uliyenaye pia mahusiano yenu yapoje pia Aina Ya kosa ila km amechukia Sana unaweza pitia mchango namba Sita Kwa maelezo Zaid
 
Huyo amekuchoka kisa Magufuli kabana huna kitu.,mpe makavu kwani yeye sio oxygen au maji kwamba ukimkosa hautaishi.....
images-421.jpeg

Au... ...
images-161.png
 
*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry

*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)

*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.

*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)

*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)

*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]
Hapo kwenye machozi pagumu sana kwa wanaume[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Hee hata mahari hujalipa ushaanza ngumi...
 
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Siyo mmechokana kakuchoka wewe[emoji23], ndyo maana akifanya kosa hakubali kama kakosea[emoji45]
 
*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry

*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)

*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.

*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)

*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)

*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]
Kaka [emoji23] [emoji23] [emoji23] unetisha
 
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
mmechokana nyie kutokana na kuzoeana sana
 
Back
Top Bottom