*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry
*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)
*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.
*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)
*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)
*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]