Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
Nakumbuka usia wa babu yangu.
"Mjukuu wangu daima kumbuka, ukitaka kuishi vyema na mwanamke daima kuwa mtu usietabirika"
Mara nyingi nikikosea navuta pumzi kidogo kisha baadae namuomba msamaha wa ubavu wangu pamoja na mahaba kibao.
Ila mara nyingine naharibu hali ya hewa halafu nakuwa nunda hadi anashangaa.
Basi mwenyewe utasikia anasema, "mume wangu ni mpole ila we usiombe ukute siku bange zake zipo kichwani"
Somo ni kuwa;
Ili kujenga mahusiano mema na wandani wetu wanaume tunatakiwa kuwatendea wema na kuwasiliana nao kwa upole ili kujenga mapenzi baina yetu, ila hatutakiwi kufikia mahali ikawa ni fomula.
Wanawake hupenda pia kuziona haiba na tabia fulani za kiume kwa waume zao zilizo katika mila na desturi za jamii zao. Mfano utukutu na ubabe fulani hivi ambao haujapitiliza.
Ukiwa laini sana hawajisikii raha, na ukiwa mbabe sana unawapotezea amani.
Amani kwenu
Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
usithubutu kumwomba mwanamke msamaha, utajuta maana atakukalia hapo utosini
Wanaume wengi hawaombi msamaha ila wanakubali kumaliza kimyakimya
Pamoja na kuwapenda nini nini... Akili hio na uzoefu unaonesha.. kuna vitu ukikiri kwa Mwanamke ndio umepoteza kabisa kabisa. Wanaume tunazo njia laki nane... mwanaume anaweza kuwa amefanya kosa na ni kweli ni kosa akalikuchambulia ukakuta wewe mwanamke unampigia magoti na umbembeleze vibaya mno akusamehe... masikini ... trust me cc watu8
Kwani nyie hamuonagi mnavyomchukia mwanaume mwenye tabia tabia za kike kike (simaanishi gays apa) ....
Bi mkubwa nahisi hujayaelewa vyema hayo niliyoyaandika nami pasi hiyana nitakufafanulia...
Mleta mada katuletea kisa cha Hawa na Adamu, katueleza zaidi namna Adamu alivyoshindwa kuomba msamaha kwa Mungu kwa niaba ya mkewe...
Utakubaliana na mimi kuwa katika kisa hicho hapo juu hakuna mahali ambapo Hawa alimkosea Adamu isipokuwa wote wawili walimkosea Mungu...
Kwa mantiki hiyo basi, aliyepaswa kuombwa msamaha ni Mungu na wala sio Hawa. Kitendo cha Adamu kushindwa kuomba msamaha kwa Mungu na kusukuma zigo lote kwa Hawa ndicho kilichozua tafakuri kwa mleta mada na kuiwakilisha hapa kwetu...
Sasa je sisi wanaume wa leo tunajifunza nini hapo?
Kimsingi kuna mafunzo mengi kutokana na kisa cha Adamu na Hawa, isipokuwa kwa wanaume kuna funzo moja kubwa...
Funzo hili ni namna ya kuishi nanyi kwa akili, na hivyo ndivyo Biblia ilivyotuagiza
(1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.)
Hilo ulilolibainisha la kusameheana nafikiri ni mjadala mwingine kabisa(labda kama sijaielewa hii mada), kwa sasa tujadili hili la kusukumiana mizigo badala ya kuwajibika kwa niaba.
kuna wengine, hata ahsante hawasemi, inabidi kuwafundisha kusema thank you. sometimes huwa najiuliza ni malezi au ndio nature ya mfumo dume ipo kazinimimi huomba msamaha haraka kwani, naamini silaha ya ndoa njema ni haya maneno matatu:-
1.POLE
2. SAMAHANI
3.ASANTE
Haya maneno ukiyatumia vizuri walah ndoa yako haitakuja kuyumba milele. maneno hayo yatumike kwa wote.
Nakumbuka usia wa babu yangu.
"Mjukuu wangu daima kumbuka, ukitaka kuishi vyema na mwanamke daima kuwa mtu usietabirika"
Mara nyingi nikikosea navuta pumzi kidogo kisha baadae namuomba msamaha wa ubavu wangu pamoja na mahaba kibao.
Ila mara nyingine naharibu hali ya hewa halafu nakuwa nunda hadi anashangaa.
Basi mwenyewe utasikia anasema, "mume wangu ni mpole ila we usiombe ukute siku bange zake zipo kichwani"
Somo ni kuwa;
Ili kujenga mahusiano mema na wandani wetu wanaume tunatakiwa kuwatendea wema na kuwasiliana nao kwa upole ili kujenga mapenzi baina yetu, ila hatutakiwi kufikia mahali ikawa ni fomula.
Wanawake hupenda pia kuziona haiba na tabia fulani za kiume kwa waume zao zilizo katika mila na desturi za jamii zao. Mfano utukutu na ubabe fulani hivi ambao haujapitiliza.
Ukiwa laini sana hawajisikii raha, na ukiwa mbabe sana unawapotezea amani.
Amani kwenu
yani ndugu yangu naona sasa wewe ndo walewale
wenye mfumo dume wanaopenda kunyenyekewa na
kulambwa miguu ikidhania kuwa wao huwaga wakosei
hebu jirekebishe ndugu kwani kama ukimkosea mkeo
yabidi umwombe msamaha kwani ni wewe ni sababu
huu ndio uanaume mkuu... Kila mwanaume na afahamu hili.
Nilitaka kuhighlight kitu nikajikuta nahighlight yote.. Niaacha. Safi sana kiongozi
shukraniNa hili ndio JAWABU!!
mmh! wanaume nyie, nafikiri mleta mada hakukosea, mna explanation kwa kila kitu, hamkubali kushindwa. hilo la wanaume kutupenda, so soon nitalianzishia thread
unajua dada venine kwa uzoefu wangu kunamakabira siyoyataja wao kuomba na kushukuru ni kujidharirisha kwa mwanamke, wao ndio wana haki,nahakika usipo yatii hayo ndoa yako ipo mashakani daimakuna wengine, hata ahsante hawasemi, inabidi kuwafundisha kusema thank you. sometimes huwa najiuliza ni malezi au ndio nature ya mfumo dume ipo kazini