Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Hii ndio sababu kuu wanaume wa leo awajakaa kwenye nafasi zao kama wokozi wa ndoa zao

ilianzia kwa adam angalia alipokosea mungu akamulza maswali na majibu yake hii ni baada ya kula tunda

mungu !.....adamu umekula tunda

adam!.,,,,....,.,mungu ni yule mwanamke ulienpa amendanganya

mungu!!!........adamu uko wapi
adamu!!!........niko uchi
hapa mungu alitaka kujjua posn alipo matokeo anajibu alivyo

ukiona hapo juu soln ilikuwa ni kusema
mungu nisamehe nimekosa!!!adam…kumtaja mwanamke kwenye kosa alilofanya ndio l

nyumba imearbka!!!huyu mwanamke ban
nyumba chafu!!!mwanjmke huyu shda tupu

raha anayo nani???
Jtano njema

unaombeje msamaha kwa kiumbe dhaifu
 
Ngwandu mkuu
c kiburi tu ni uovu akuna tofauti na kuzini wasome 1wak 22
nyumba kucmama n cici wenyewe niwapemdfano hapa kati nilibarikiwa safari za nch tano nikienda nakaa narud dar nageuka,,mama didy safari ya tatu akaninunia kabsa niliporudi hata tunda la uzma nkanymwa wiki moja nkanyanyuka tena niliporud nkakaa wikh tatu kila akiomba nayeye nagoma bdae nkakachini kumweleza kama tunbarikiwa na kuweza kumaliza hata yale mabanda ya sungura huon faraja

kama nimekokusea samahan na yeye akaomba samahani leo tunagwanduana kama mungu alivyotuamuru tusinyimanE

unaweza kuwa mgumu wa msamaha kumbe ni jini mahaba linakukula uciku alitaki mkae sawa na familia

Wanaume wengi hawaombi msamaha ila wanakubali kumaliza kimyakimya, mi ni mmoja wao, ila wanawake wengi wa sasa ni wakosefu sana kwa waume, walio wengi hawasimamii majukumu yao kisawasawa, zaidi wanawategemea madada, hapo upendo wa misamaha utatoka wapi?
 
Nakumbuka usia wa babu yangu.
"Mjukuu wangu daima kumbuka, ukitaka kuishi vyema na mwanamke daima kuwa mtu usietabirika"

Mara nyingi nikikosea navuta pumzi kidogo kisha baadae namuomba msamaha wa ubavu wangu pamoja na mahaba kibao.
Ila mara nyingine naharibu hali ya hewa halafu nakuwa nunda hadi anashangaa.
Basi mwenyewe utasikia anasema, "mume wangu ni mpole ila we usiombe ukute siku bange zake zipo kichwani"

Somo ni kuwa;
Ili kujenga mahusiano mema na wandani wetu wanaume tunatakiwa kuwatendea wema na kuwasiliana nao kwa upole ili kujenga mapenzi baina yetu, ila hatutakiwi kufikia mahali ikawa ni fomula.
Wanawake hupenda pia kuziona haiba na tabia fulani za kiume kwa waume zao zilizo katika mila na desturi za jamii zao. Mfano utukutu na ubabe fulani hivi ambao haujapitiliza.
Ukiwa laini sana hawajisikii raha, na ukiwa mbabe sana unawapotezea amani.

Amani kwenu
 
Will you be my neiba?

Mwanmme ukitabirika sana unakosa ladha.

Mume wangu anaomba msamaha akinikosea sababu anajua hakuna mkamilifu,mwenyezi mungu ampe afya na kila lenye kheir na yeye, na wale wasio jua thamani yakuomba msamaa pia awapunguzie kibri awape upeo wakujua thamani ya mwenzie..
 
Mi hua naombaga msamaha hata nikikosewa
Acha kuomba msamaha tu mi hua nalia kabisa na naugua asipo nisamehe acha mambo ya kudanganyana eti siombi msamaha mimi nani anajua home kwake wanaishi vp tena hao ndo hua wanafua mpaka pichu za wake zao
 
napendaga saaaana nisome heading kuliko contents...

actually, assuming ceteris paribus... saying sorry lowers men superiority toward women..! hio ndio sababu kuu!
 
usithubutu kumwomba mwanamke msamaha, utajuta maana atakukalia hapo utosini

Msamaha unaombwa japo kisanii ebu chunguza hii kauli ..... "Mama Tutor B; naomba unisikilize na unielewe, kama nimekukosea basi naomba msamaha yaishe"

Hiyo kama ina maana kubwa sana; kumlinda Tutor B ili asikiri kosa, na pia kumlegeza mwanamke ili mambo yaende sawa.
 
Huu ndio uanaume Mkuu... Kila mwanaume na afahamu hili.

nilitaka kuhighlight kitu nikajikuta nahighlight yote.. niaacha. safi sana kiongozi
Nakumbuka usia wa babu yangu.
"Mjukuu wangu daima kumbuka, ukitaka kuishi vyema na mwanamke daima kuwa mtu usietabirika"

Mara nyingi nikikosea navuta pumzi kidogo kisha baadae namuomba msamaha wa ubavu wangu pamoja na mahaba kibao.
Ila mara nyingine naharibu hali ya hewa halafu nakuwa nunda hadi anashangaa.
Basi mwenyewe utasikia anasema, "mume wangu ni mpole ila we usiombe ukute siku bange zake zipo kichwani"

Somo ni kuwa;
Ili kujenga mahusiano mema na wandani wetu wanaume tunatakiwa kuwatendea wema na kuwasiliana nao kwa upole ili kujenga mapenzi baina yetu, ila hatutakiwi kufikia mahali ikawa ni fomula.
Wanawake hupenda pia kuziona haiba na tabia fulani za kiume kwa waume zao zilizo katika mila na desturi za jamii zao. Mfano utukutu na ubabe fulani hivi ambao haujapitiliza.
Ukiwa laini sana hawajisikii raha, na ukiwa mbabe sana unawapotezea amani.

Amani kwenu
 
ni kutokana na mwanzo wao yani chanzo kikuu ni Adamu hivyo wote wamekuwa mkumbo huo
nadhani na huo mfumo dume waliokuwa nao wanataka wao wanyenyekewe, walambwe miguu
na kutiiwa wao tu hata kama wakikosea wao hudhani sie mijike ndo tumekosea
yote hiyo ni kujitutumua kuwa wao ini wababe sana hawana haja ya kuomba msamaha
kwani wakiomba msamaha wanaona wanashushwa chini mm huwaga wananikera sana

Hii ndio sababu kuu wanaume wa leo awajakaa kwenye nafasi zao kama wokozi wa ndoa zao

ilianzia kwa adam angalia alipokosea mungu akamulza maswali na majibu yake hii ni baada ya kula tunda

Mungu, Adamu umekula tunda

Adam, Mungu ni yule mwanamke ulienipa amendanganya

Mungu, Adamu uko wapi?

Adamu, niko uchi

Hapa Mungu alitaka kujua sehemu alipo matokeo anajibu alivyo.

Ukiona hapo juu soln ilikuwa ni kusema, Mungu nisamehe nimekosa!!!

Adam kumtaja mwanamke kwenye kosa alilofanya ndio l

Nyumba imeharibka!huyu mwanamke bana.
Nyumba chafu!mwanamke huyu shida tupu.

Raha anayo nani?
Jtano njema
 
yani ndugu yangu naona sasa wewe ndo walewale
wenye mfumo dume wanaopenda kunyenyekewa na
kulambwa miguu ikidhania kuwa wao huwaga wakosei

hebu jirekebishe ndugu kwani kama ukimkosea mkeo
yabidi umwombe msamaha kwani ni wewe ni sababu

usithubutu kumwomba mwanamke msamaha, utajuta maana atakukalia hapo utosini
 
Back
Top Bottom