Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

haya maneno hujifunza tukiwa wadogo kabla hujamjua hata huyo mume au mke hayatakupa shida mpaka uzeeke ila kama hukuyajua huko nyuma huwezi ku pritend itakusumbua tuu ni kama mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
WanaJF,

Maneno pole na samahani yakitumika katika muda muafaka kwa wanandoa yanachangia kuongeza au kuleta upendo na heshima. Mathalani mume au mke anapofika nyumbani toka kazini au safari,akikaribishwa ndani na kupokewa mizigo kisha akaambiwa pole kwa kazi au safari hufarijika sana kwani huona mume au mke anampenda,anamheshimu na kumjali!

Ni aghalabu sana kwa mume au mke kumpa pole au samahani mwenzake kwa kutomfikisha kileleni au kwa kutowajibika vyema mara baada ya kufanya kile wanandoa wanaruhusiwa kukifanya na ambacho wapenzi hukifanya kwa kuiba pasipo kuwa na kibari maalumu! Mume au mke akimkosea mwenzake anapaswa kuomba msamaha,kwani kutokufanya hivyo kunaondoa upendo na heshima na kusababisha ndoa kuvunjika au wapenzi kuachana!
 
Hii ndio sababu kuu wanaume wa leo awajakaa kwenye nafasi zao kama wokozi wa ndoa zao

ilianzia kwa adam angalia alipokosea mungu akamulza maswali na majibu yake hii ni baada ya kula tunda

Mungu, Adamu umekula tunda

Adam, Mungu ni yule mwanamke ulienipa amendanganya

Mungu, Adamu uko wapi?

Adamu, niko uchi

Hapa Mungu alitaka kujua sehemu alipo matokeo anajibu alivyo.


Ukiona hapo juu soln ilikuwa ni kusema, Mungu nisamehe nimekosa!!!

Adam kumtaja mwanamke kwenye kosa alilofanya ndio l

Nyumba imeharibka!huyu mwanamke bana.
Nyumba chafu!mwanamke huyu shida tupu.

Raha anayo nani?
Jtano njema
 
usithubutu kumwomba mwanamke msamaha, utajuta maana atakukalia hapo utosini
 
Ngwandu mkuu
c kiburi tu ni uovu akuna tofauti na kuzini wasome 1wak 22
nyumba kucmama n cici wenyewe niwapemdfano hapa kati nilibarikiwa safari za nch tano nikienda nakaa narud dar nageuka,,mama didy safari ya tatu akaninunia kabsa niliporudi hata tunda la uzma nkanymwa wiki moja nkanyanyuka tena niliporud nkakaa wikh tatu kila akiomba nayeye nagoma bdae nkakachini kumweleza kama tunbarikiwa na kuweza kumaliza hata yale mabanda ya sungura huon faraja

kama nimekokusea samahan na yeye akaomba samahani leo tunagwanduana kama mungu alivyotuamuru tusinyimanE

unaweza kuwa mgumu wa msamaha kumbe ni jini mahaba linakukula uciku alitaki mkae sawa na familia
 
Mi hata kama ndo mwenyekosa lazma nimchenjie kidogo....halafu badae nakua mpole
 
Back
Top Bottom