habari ya hapa kuna kitu kimoja napenda nikuambie
Wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi na pia kila ndege huruka na bawa lake na hakuna ndege anayetumia bawa la mwenzake kuruka
Ndoa ni ya kwako wewe na sio ya yule wala yule na ni wewe utakayeifanya ndoa yako idumu au kufa na ni wewe utakayefanya ndoa yako iwe na amani na furaha au iwe ni kama taleban kila siku ngumi na vita
Muombe Mungu akupe mwenza wa maisha yako ambaye atakidhi ile haja ya moyo wako ambaye mtaelewana na kukubaliana na ambaye anakujua na unamjua wapi ana hasira wapi huwa anakasirika wapi huwa ananuna wapi huwa anafurahi na umtendee the same kama wewe atakavyokutendea the same
Yule ambaye mtakaa muongee muelewane na sio kupandihiana sauti na yule ambaye atayachukua mapungufu yako na kuyafanyia kazi the same to you
hiyo ndio ndoa japo ni wachache ila wapo ambao wanafurahia ndoa zao kila siku iamkapo kwa Mungu na wanafurahi kuwa pamoja na wenzi wao kila siku