Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.
ni kutokana na mwanzo wao yani chanzo kikuu ni Adamu hivyo wote wamekuwa mkumbo huo
nadhani na huo mfumo dume waliokuwa nao wanataka wao wanyenyekewe, walambwe miguu
na kutiiwa wao tu hata kama wakikosea wao hudhani sie mijike ndo tumekosea
yote hiyo ni kujitutumua kuwa wao ini wababe sana hawana haja ya kuomba msamaha
kwani wakiomba msamaha wanaona wanashushwa chini mm huwaga wananikera sana
 
Nakumbuka usia wa babu yangu.
"Mjukuu wangu daima kumbuka, ukitaka kuishi vyema na mwanamke daima kuwa mtu usietabirika"i

Mara nyingi nikikosea navuta pumzi kidogo kisha baadae namuomba msamaha wa ubavu wangu pamoja na mahaba kibao.
Ila mara nyingine naharibu hali ya hewa halafu nakuwa nunda hadi anashangaa.
Basi mwenyewe utasikia anasema, "mume wangu ni mpole ila we usiombe ukute siku bange zake zipo kichwani"

Somo ni kuwa;
Ili kujenga mahusiano mema na wandani wetu wanaume tunatakiwa kuwatendea wema na kuwasiliana nao kwa upole ili kujenga mapenzi baina yetu, ila hatutakiwi kufikia mahali ikawa ni fomula.
Wanawake hupenda pia kuziona haiba na tabia fulani za kiume kwa waume zao zilizo katika mila na desturi za jamii zao. Mfano utukutu na ubabe fulani hivi ambao haujapitiliza.
Ukiwa laini sana hawajisikii raha, na ukiwa mbabe sana unawapotezea amani.

Amani kwenu


nimekukubali ndugu...!
 
Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.

Mkuu Tized ebu saidia kutoa semina kwa wanajamii kuwa tatizo sio mfumo dume ila principally kuna vitu vinatakiwa kum-guide mwanaume katika kuomba msamaha however mwanaume hutakiwi kumkosea mwanamke utakavyo, heshima ni muhimu. cc: Lady niece

 
hivi wanaume wanafanana tabia? mi huwa nalazimisha kuombwa msamaha, lakini kuliko mtu aseme sorry anazidi kubishakwa kujitetea kwa hoja zinazokera. Ukikosea, unapaswa kuomba msamaha
 
Biblia inamuagiza mtu mume kuishi na mwanamke kwa akili, sasa we endelea kuwadekeza uone kitachokutokea.
Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
 
Hello waungwana... Wanaume wanapenda kuonekana sahihi muda wote.. Wakiomba msamaha wanaona km wanakiri udhaifu kumbe wakijifanya wagumu ndo wanakiri huo udhaifu..
 
Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
hivi unafahamu wanaume tunawapenda wanawake kuliko wao wanavyotupenda? do you know that?
 
Endelea kuomba msamaha lkn ujue hilo kwako tatzo maana hao hawana msamha....ishi naye kwa akili...mjomba...
 
HAPO NDUGU NIMEKUELEWA KABISA
NILIDHANI HAMUOMBI MSAMAHA KABISA
JINSI NILIVYOMUELEWA Mokoyo ALIVYOSEMA MWANZO
Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.
 
Last edited by a moderator:
Mi hata kama ndo mwenyekosa lazma nimchenjie kidogo....halafu badae nakua mpole

Yaani we dawa yako moja tu! Ukishakuwa mpole tu hapohapo nalianzisha! Utajiuliza nilimeza saa ngapi iyo MP3
 
Yaani we dawa yako moja tu! Ukishakuwa mpole tu hapohapo nalianzisha! Utajiuliza nilimeza saa ngapi iyo MP3
Nikishakua mpole kama najua kosa ni langu nakupiga na Gifts tu kukupooza...c unajua actions speak louder..
 
mimi huomba msamaha haraka kwani, naamini silaha ya ndoa njema ni haya maneno matatu:-
1.POLE
2. SAMAHANI
3.ASANTE
Haya maneno ukiyatumia vizuri walah ndoa yako haitakuja kuyumba milele. maneno hayo yatumike kwa wote.
 
Back
Top Bottom