Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kitu k4licho nishnda kwenye maisha ni neno msamaha. Hata nikimkoseaga mshua na tumia mbinu zote kumaliza mambo.
Unakuta mtu fulani hasa wengi wetu sisi wanaume unakuwa kabisa umekosea au umekamatwa kabisa na ushahidi lakini utafanya ufanyalo ushahidi ushaonekana ila utafuta na kukana na kuja juu ili mwenzio ndio aonekane mjinga na kumgeuzia msala yeye kwa vijikosa vilivyopita au udhaifu wake fulani ambao kiukweli sio udhaifu ila ni vitu anaona kwako ni vibaya na anavipinga ila wewe hutaki kuachana navyo.
Msamaha ili yaishe na roho ya mwenzio isawajike na isiwe dhaifu na stress huwa mnauonaje?
Samahani inaokoa penzi na hakuna uungwana kama kuomba radhi pale unapodhan tatizo lipo
Kuomba msamaha ni kusema "YAISHE" zaidi ya hapo usitegemee "SAMAHANI"...!
msamaha ni kuyamaliza