Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Mimi kitu k4licho nishnda kwenye maisha ni neno msamaha. Hata nikimkoseaga mshua na tumia mbinu zote kumaliza mambo.
 
mbona hujatuzungumzia sisi ambao hatujui kusema neno samahani ata kama ni sisi ndio tumewakosea wenzi wetu?sisi tupo ktk kundi gani kati ya hao?just curious to know that mkuu.
 
Mimi kitu k4licho nishnda kwenye maisha ni neno msamaha. Hata nikimkoseaga mshua na tumia mbinu zote kumaliza mambo.

Yani wewe upo kama mimi. Nitasumbuka rohoni sijui ndo moyoni lakini sitakaa nikutamkie neno samahani. Sielewi nipoje, I need to work on this lol
 
Bac tu neno "samahi" ni dogo sana ila tunajisahau na sii kwa wapenzi tu ht kwa wengineo
 
Unakuta mtu fulani hasa wengi wetu sisi wanaume unakuwa kabisa umekosea au umekamatwa kabisa na ushahidi lakini utafanya ufanyalo ushahidi ushaonekana ila utafuta na kukana na kuja juu ili mwenzio ndio aonekane mjinga na kumgeuzia msala yeye kwa vijikosa vilivyopita au udhaifu wake fulani ambao kiukweli sio udhaifu ila ni vitu anaona kwako ni vibaya na anavipinga ila wewe hutaki kuachana navyo.

Msamaha ili yaishe na roho ya mwenzio isawajike na isiwe dhaifu na stress huwa mnauonaje?
 
Sihui hata nani aliwaambia nyie wanaume kuomba msamaha unaweza kubadilika njisia! hebu jitambueni kwamba na nyie ni binadamu kama sisi hivyo kuomba msamaha hupungikiwi kitu jamani!
 
hili tulishalijadili hapa. Tafta hiyo topic. Mod unganisha hii kitu.
 
Akiomba msamaha atakuwa sio kidume mxyuuuu usengerema tu....!!!
 
Unakuta mtu fulani hasa wengi wetu sisi wanaume unakuwa kabisa umekosea au umekamatwa kabisa na ushahidi lakini utafanya ufanyalo ushahidi ushaonekana ila utafuta na kukana na kuja juu ili mwenzio ndio aonekane mjinga na kumgeuzia msala yeye kwa vijikosa vilivyopita au udhaifu wake fulani ambao kiukweli sio udhaifu ila ni vitu anaona kwako ni vibaya na anavipinga ila wewe hutaki kuachana navyo.

Msamaha ili yaishe na roho ya mwenzio isawajike na isiwe dhaifu na stress huwa mnauonaje?

Wanaume tuna namna ya kuomba msamaha lakini sio kutamka bayana "naomba unisamehe". Hilo halipo. Hayo ya kutamka namna hiyo ni kwa akina mama. Kama ndio mfumo dume sina uhakika lakini ndivyo ilivyo! Namna ya kuomba msamaha inaweza kuwa more caring, kufanya vitu ambavyo unajua dhahiri mwanamke anafurahia etc.
 
Kuomba msamaha ni kusema "YAISHE" zaidi ya hapo usitegemee "SAMAHANI"...!
 
Samahani inaokoa penzi na hakuna uungwana kama kuomba radhi pale unapodhan tatizo lipo

Kweli yaani nikiombwa msamaha nafurahi sana. na pia wanaume jueni kuwa kuomba msamaha sio kama umedharauliwa ni heshima tu na kujenga penzi lisibomoke zaidi. Kaa kimya uone itakavyokuwa.
 
Napenda sana mtu aseme samahani sio yaishe ndiyo nini hata nanihiiiiiiiiiiiiiiiiii sikupi ukisema yaishe. Nageukia huko.
 
Back
Top Bottom