Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Habari zenu wanandugu,

Kwa namna moja ama nyingine, kwa bahati mbaya au makusudi tunawakosea tunaowapenda haswa wenza.

Je ni maneno gani unatumia kumfanya ajisikie vizuri tena? Je kuna lugha nzuri ya kumfanya mpenzi asahau ulichomkosea akakusamehe?

Karibuni tubadilishane maneno hayo.
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
 
hahaha maneno kuntu.
 
That's why i love you....! Mama p
 
Yaishe dear,
Zawaidi ile ya ambayo ndo udhaifu wake,
Sio mm ilikuwa ndovu tu dear,
Niliteleza baby,
Acha nayo hayo ni kawaida kwa binadamu wote my sweetheart,
Sahau bac honey,

ila kusema nisamehe sahau
Neno nisamehe kwa mwanamke kwangu marufuku!
 
Back
Top Bottom