Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Mpumbavu mwingine na data za kupika, eti mwaka 2015 $ ilikuwa 1169Tsh, wewe pia ni reflection ya uongozi uliopo, madebe matupu, kichwani zero.
 
Tukiacha kuagiza 'Shilingi' itaimarika?
Ngoja nikuelekeze kibwengo wewe, kwa mfano ninataka kuagizia bidhaa china regardless ya bei yake. US moja ni sawa na tshs za kitanzania 2340.19. Ila Chinese Yuan moja ni sawa na tshs 339.34 za kitanzania.

Kibiashara tukifanya deals kwa kutumia pesa ya mchina ambaye ndie biggest business partner wa Africa kwasasa na tunanunua kwake bidhaa kwa asilimia 90% it means tutapunguza gharama kubwa sana.

Marekani pesa yake imekaa hapa kama kiudalali tu na haina faida kwetu eneo la imports zaidi ya kutuletea inflation katika uchumi wetu.

Kimsingi tukianza kutumia currency za hawa business partners wetu yaani China na Japan tutasave gharama kubwa sana eneo la imports ingawa kwenye exports hatutapata sana unless tufanye maboresho ya mnyororo wa thamani ili bidhaa tunazowauzia ziwe na bei ya juu kidogo tupate faida.

Ukitaka kuona hii kitu jaribu kutest kama unaagizia bidhaa kwa kutumia Yuan halafu convert kuja pesa ya Tanzania then kitu hicho hicho nenda kukicheki kwa dollar then leta kwa bei ya Tanzania utaona tofauti ya bei ilivyokuwa kubwa.
 
Sio kwa hawa viumbe wa kijani ndio tuwategemee.
 
Na masharti ya IMF watamuachia nani?! Wamesaini mikataba marekani amewashika kwenye mapumbu mabwege hawa hawana ujanja.
 
Ndugu achana na walamba asali huwa wanajizima data kwa muda sema technology ndo huwa inawaumbua
 
Mpumbavu mwingine na data za kupika, eti mwaka 2015 $ ilikuwa 1169Tsh, wewe pia ni reflection ya uongozi uliopo, madebe matupu, kichwani zero.
Mimi naona hadi kinyaa kubishana na hawa nguruww yaan mlengwa hapo ni jpm 2015 dolla nilibadilisha 2300 na kuna kipindi ilifika 2400 ikarudi sijui welifanyaje huku ndo tunakoelekea kwa huyu mama lazima itafika 4500 soon halafu watakuj kusema mama anaiponya nchi huku Bereu zikirudia ile tibia yao ya kutorosha dolla
 
Kudadadeki hata mfanyeje hamrudi ikulu ng'o, ngurruwer nyie, jitu lilifunga funga kila kitu na kuwadanganyia eti mzalendo wa wanyonge sijui nani huko pambaf kabisa, mlilamba sana enzi yenu halafu mkaleta zarau sanaa mkasahau kwamba kuna aliye juu ya vyote, asante sana Mungu
 
Uchumi unakua ka kasi ya ajabu, tuna waziri msomi sana wa wizara ua fedha
 
Nchi tuna tatizo kubwa, ccm imeoza, upinzani nao hujielewi

Hayo ni maoni yako,
Tatizo haujafanyika uchaguzi huru na wa haki. Wananchi wataamua Nani anayejielewa na Nani hajielewi
 
Lazima ununue Kwa dola tu unaaccount benki inasoma m.500 halafu ukitaka kununua kitu ni lazima ikatwe Kwa dola , Sasa Kwa watu mf. Wanaohudumia watalii dola ikishuka ni hasara,wafanyabiashara wowote wanaotegemea dola ni hasara kweli,pesa yetu hainaga dhamani siku zote mf. Dola Moja today is 2350tsh Sasa ukizidisha na mf. 500 unapata nyongezakubwa tu yakuishi town hapa
 
Nadhani watu kama wa utalii wanafaidika sana.
 
Kufa kufaana atapata hasara wa bureau de change ila mfanyabiashara wa bidhaa na mfanyakazi na mtu wa kawaida itakuwa nafuu
 
Na kamwe hatuyapi nchi tena haya mafuasi ya maiti wa Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…