The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,396
- 1,464
Jamaa kanaimba matusi sanaEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kanaimba matusi sanaEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
Kusema Samia =Mwendazake Ni uwongo, Kuna tofauti kubwa Sana, Samia ni kiongozi, JPM alikuwa mtawala.Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
Sio kanzu na Shekhe vyote vipya?Kanzu mpya; shehe yule yule.
Wananyooka wao maana wameimba mapambio halafu nafasi wanachukua wengine.Wateuliwe wasaliti tunyooke sisi kwa lipi , nyinyi mbona mnatelekezwa tu miaka yote ?
Kula limao ulale wenzio ndio hao wanateuliwa maisha yansonga wewe endelea kufuta meza anazolewea mwenyekiti wakokama hujapata kwenye mkeka huu we ni taahira.
Msando , mshirika wa Giggy moneyWCB hakuna aliyeteuliwa?
Mamlaka ya uteuzi inaongozwa na binadam tu na kwa idadi kubwa ya wateuliwa inawezekana kabisa yakawepo makosa miongoni mwa majina yaliyotangazwa,na hasa tukizingatia pia zoez hilo linapitia mikononi mwa wengi walio kwenye nafas ya ushauri kwa rais. So huenda ktk nia ya kutaka watu wao wapewe nafas,huweza kufikisha taarifa za kilaghai mbele ya mkuu wa teuzi.kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
Nawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.Tusubiri wakurugenzi Sasa, kikubwa namwombea mama wakurugenzi ageukie watumishi wa umma Kama taratibu zinavyotaka.Kuteua makada kwenye ukurugenzi Ni kuvuruga utumishi wa umma
Take it easily ndg tunapita eee hakuna kitu kitabakia binadam ni mchangEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
kuna ukweli sanaNawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.
In short hatuna Raisi, Chadema wanachelewesha amsha amsha , nchi sa hv ipo balanced....!!! Wananchi wengi hawana imani na huyu mama ukiachilia mbali waliobanwa pumbu na jiweNawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.
Masanja mkandamizaji vp kapelekwa wap yy?Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
NAKULILIA TANZANIA
Mbowe mshirika wa Wema SepetuMsando , mshirika wa Giggy money
Upo sahihi kwa sehemu flaniNawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.
Nawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCMexpand...
Upo sahihi kwa sehemu flani
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCMexpand...
Vichekesho vya mwaka , uteuzi huu .
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCMexpand...