Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
Mamlaka ya uteuzi inaongozwa na binadam tu na kwa idadi kubwa ya wateuliwa inawezekana kabisa yakawepo makosa miongoni mwa majina yaliyotangazwa,na hasa tukizingatia pia zoez hilo linapitia mikononi mwa wengi walio kwenye nafas ya ushauri kwa rais. So huenda ktk nia ya kutaka watu wao wapewe nafas,huweza kufikisha taarifa za kilaghai mbele ya mkuu wa teuzi.
Binafs ningekufrahia ikiwa ungetafuta namna sahh ya kumsaidia mh.Rais ajue hizo taarifa za hao unadhan hawastahil kabisa kubeba bendera ya nchi yetu. Nataka niamini Mama anasikiliza ukimfikia. Vinginevyo itakuwa ngumu kuktofautisha na "wavimba macho" tu wasiovumilia wenzao wanapofanikiwa maishani!!!
 
Tusubiri wakurugenzi Sasa, kikubwa namwombea mama wakurugenzi ageukie watumishi wa umma Kama taratibu zinavyotaka.Kuteua makada kwenye ukurugenzi Ni kuvuruga utumishi wa umma
Nawaonea huruma sana. Umwombee mama? Sikilizeni: mama anakwenda kuchuja haraka sana na mtamchoka haraka mno. Kinachomfanya sasa hivi aonekane kama anafanya vizuri ni hali ya utawala uliopita ilivyokuwa mbaya. Inakuwa ni kama mtu alikuwa amefungwa kwa mnyororo kwenye chumba chenye joto sana na akatolewa nje kwenye upepo bila mnyororo kufunguliwa. Bila shaka atajiona afuweni sana. Lakini akishazoea hiyo hali atajiona kuwa kumbe bado amefungwa na mateso kuanza upya.
 
kuna ukweli sana
 
In short hatuna Raisi, Chadema wanachelewesha amsha amsha , nchi sa hv ipo balanced....!!! Wananchi wengi hawana imani na huyu mama ukiachilia mbali waliobanwa pumbu na jiwe
 
Masanja mkandamizaji vp kapelekwa wap yy?
 
Kwa yaliyofanyika leo ni mwiba miongoni mwetu
 
Upo sahihi kwa sehemu flani
 
expand...
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…