Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

In short hatuna Raisi, Chadema wanachelewesha amsha amsha , nchi sa hv ipo balanced....!!! Wananchi wengi hawana imani na huyu mama ukiachilia mbali waliobanwa pumbu na jiwe
wewe ndio huna imani na mama.
 
Au hata Maafisa Tawala
 
Mwacheni mama afanye kazi yake, vijana mlioteuliwa nendeni mkathibitishe nyie ni bora, kapigeni kazi kweli kweli. Kudumu chama cha mapinduzi?....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapishana na msimu mkuu labda asubirie ukurugenzi
 
Ni huzuni kwakweli
 
Wasaliti hao walikataliwa chadema na sio serikalini?unatakiwa kulijua hilo kabla hujatoa mtazamo wako...kufukuzwa mtu chadema au cuf au act hakumaanishi anyimwe nafasi serikalini ilhali ana vigezo
 
Wasaliti hao walikataliwa chadema na sio serikalini?unatakiwa kulijua hilo kabla hujatoa mtazamo wako...kufukuzwa mtu chadema au cuf au act hakumaanishi anyimwe nafasi serikalini ilhali ana vigezo
Video ya Msando na giggy money hukuiona , kwani yule naye alifukuzwa Chadema ?
 
unataka iweje ili uamini fulani anafaa kwa nafasi ya ukuu wa wilaya....Unafahamu job description ya DC halafu uipime vs jamaa fulani unayeona hafai....?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…