Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Ahahahahahahaha Kipozeo auKanzu mpya; shehe yule yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahaha Kipozeo auKanzu mpya; shehe yule yule.
AhahahahahahahEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
wewe ndio huna imani na mama.In short hatuna Raisi, Chadema wanachelewesha amsha amsha , nchi sa hv ipo balanced....!!! Wananchi wengi hawana imani na huyu mama ukiachilia mbali waliobanwa pumbu na jiwe
Au hata Maafisa TawalaJKN aliwahi kusema, "...tuhuma tu ingetosha kumtoa waziri wake kwenye baraza..." kwanini utuhumiwe wewe na si mwingine?
Mfano, Albert hakutuhumiwa, aliyafanya na tukaona kwenye mitandao, yeye na Giggy, chama kikamuona hatoshi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni, leo anaenda kubeba Taswira ya wilaya na kufanyia maamuzi wananchi zaidi ya jimbo alilokataliwa!
Si nasikia Muro ni kama wale tu?
Kuna wakati ni bora kuwapandisha hawa watendaji wa kata, tarafa, watumishi wa halmashauri, wilaya na mikoa kwenye hizo nafasi kuliko kuleta mtu kutoka kusikojulikana.
bado machozi ya yule lofa jiwr hayajakutoka tu?Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
Million 4 mkuuMshahara wa mkuu wa wilaya ni Tsh ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapishana na msimu mkuu labda asubirie ukurugenziUkiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
NAKULILIA TANZANIA
Mkuu mbona huyo ana sifa ya elimu ukitoa kipaji cha sanaa alichonacho unashangaa nini hapo sasaEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
Haiba Hana ,Mkuu mbona huyo ana sifa ya elimu ukitoa kipaji cha sanaa alichonacho unashangaa nini hapo sasa
Niki ni msomi mzuri sana kama ulikuwa hufahamuEt Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
Mtanyooka tu mabavicha wakubwa nyie!
Ulitaka ateuliwe Lisu?
Ni huzuni kwakweliUkiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
NAKULILIA TANZANIA
Et Nikki wa pili nae DC , hii nchi hii imekosa maono
Wasaliti hao walikataliwa chadema na sio serikalini?unatakiwa kulijua hilo kabla hujatoa mtazamo wako...kufukuzwa mtu chadema au cuf au act hakumaanishi anyimwe nafasi serikalini ilhali ana vigezoUkiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
NAKULILIA TANZANIA
Nan aliyekwambia nimepinga Kwa kigezo cha Elimu ? UmekrupukaNiki ni msomi mzuri sana kama ulikuwa hufahamu
Video ya Msando na giggy money hukuiona , kwani yule naye alifukuzwa Chadema ?Wasaliti hao walikataliwa chadema na sio serikalini?unatakiwa kulijua hilo kabla hujatoa mtazamo wako...kufukuzwa mtu chadema au cuf au act hakumaanishi anyimwe nafasi serikalini ilhali ana vigezo