Tunarudi kwenye msemo wa mke wa mzee toziMwanzo iliaminika kuwa "wajinga ndio waliwao" ila kwa trend ya saizi mbona ni kama waliwao ndio wajinga wenyewe?
View attachment 3467442
Ona hii mbumbumbu haijui kutofautisha kati ya market value na club valueKweli wenye akili kule ni wawili tu
Timu haina kiwanja hata cha mazoezi wala hosteli
Timu toleo lake jipya la.jezi kuanza msimu mpya zinasuasua kununulika huko madukani mpaka yule msemaji wao anaelilia kichwa cha mwanaume simba anafoka bila jezi mpya hakuna mtu kuingia kwenye siku yao walilia kichwa kama sio upuuzi ni nini kumbafu kabisa
View attachment 3467412
Tofauti yako na mavi ni miguuMaumivu ni makali ndio nimekunya Mo Energy + Karanga + Tende + Korosho + Maziwa mtindi + vumbi la kongo
Kisa tu umelilia kupiga kichwa changu mi nakusubiri upige kwenye kichwa changu cha chini maumivu yapoe
hata berkane haina thamani ya 100BKatika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100
Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa,
Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao
Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya mkutano mkuu mgeni rasmi alikuwa Manzoki
Naunga mkono hoja.Yanga wenye akili wawili tu
Hiyo Club value inapimwa kwa vigezo gani?Ona hii mbumbumbu haijui kutofautisha kati ya market value na club value
Tofauti yako na mavi ni miguu
TunaangaliaHiyo Club value inapimwa kwa vigezo gani?
Value ya Club ni asset au kitu gani? Halafu tuje kujadili, Je ni kweli asset za Yanga zina thamani sana kuizidi Al Ahly na Mamelody
Tupe evaluation iliyofanyia hadi kufikia conclusion ya bilion 100
Sio kweli kuwa Yanga ina wanachama au mashabiki wenye morale ya kuichangia timu yao.Tunaangalia
1.purchasing power
Yanga Kwa Sasa ina Wanachama waliosajiliwa zaidi ya 91,000 ambao hawa wana uhakika wa kuchangia club takribani 3b uhakika
2 budget ya Yanga pekee ni billion 33 kwa mwaka Kwa miaka 3 unafikia thamani ya club, iweke wewe mbumbumbu uone 100 billions ni nyingi
3 Yanga ina jengo na eneo kubwa pale jangwani Kariakoo, sehemu potential kabisa Africa mashariki wakiamua kuuza watauza bei gani, Bado we mbumbumbu unaona billion 100 sio thamani ya Yanga
4 Thamani ya kikosi cha Yanga kuanzia senior timu, Young princess, young youth teams ni bei gani. Yaani tu Mzize imekuja billion 5 watu wakagoma,
Sasa hesabu wanaume kuuza Pacome,.Diarra, Doumbia, Job, Bacca na wachezaji wote kutoka vikosi vyote ni sh ngap? Wewe mbumbumbu Bado unabisha kuwa Yanga haina thamani ya billion 100
5. Miakataba ya kibiashara anzia pesa anazoweka Azam, sportpesa, Haier, NIC, visit Zanzibar, GSM n.k Bado wewe mbumbumbu unabisha Yanga haina billion 100?
6 pesa za zawadi na tuzo. Yanga ameshinda makombe yote na yameleta zawadi na tuzo mbalimbali kuanzia NBC zawadi Zaidi ya 1 billion, CRDB Zaidi ya milion 600 n.k
7 Mashabiki, Yanga ni timu ina mashabiki zaidi ya milion 35.hapa Tanzania pekee na hawa wana thamani kubwa Kwa club kuanzia viingilio, kununua jersey n.k
Sasa mbumbumbu nimejaribu kukuelezea Kwa uchache uone Hata hiyo 100 billions ni kidogo ilitakiwa ifike hata billion 900
Hizo budjet ni makadirio tu na wala sio lazima yawe exactly kama yalivyoainishwa.Tunaangalia

Hivi wewe una akili timamu?Sio kweli kuwa Yanga ina wanachama au mashabiki wenye morale ya kuichangia timu yao.
Kwanza kabla ya kuhoji hiyo purchasing power nianze kwa ku question aina ya product ambazo Club inaziuza na mauzo yake yataenda kuifaidisha Club.
Product kubwa kwa Club yenu ni jezi. Nipinge kama una hoja defensively.
Sasa kwenye hiyo jezi inauzwa 45,000 lakini kinachoenda kwenye Club ni 1,300. Yani kwa lugha ya mtaa Club inaambulia kitenge na jiti tatu.
Mpaka hapo taratibu hesabu zinaanza kukataa. Kwasababu ili kufikisha hiyo 3B kwa mwaka, Club itahitajika kuuza jezi copy zaidi ya Milioni 2 na ushee huko. Kitu ambacho hakiwezekaniki.
Wakati huo Simba kwenye jezi peke yake anakusanya zaidi ya 3bilion. Hiyo ni jezi tu na haitajalisha soko limeendaje yeye anauhakika wa hiyo pesa.
Kingine kusema Yanga ina wanachama wenye kujitoa sana kuichangia timu yao haiwezi kuwa kweli kwasbabu ya rekodi hai ambazo zipo zikionesha jinsi gani hii Club yenyewe ndio inajitoa kuwachangia wanachama wake pamoja na mashabiki kuliko ambavyo mashabiki wanajitoa kuisapoti timu yao.
Moja ya mifano
1. Fungulia mbwa kwenye matamasha yenu (Hapa ni Yanga iliwachangia mashabiki)
2. Kipindi cha bakuli hamkuweza kukusanya hata milioni 30 kupitia michango ya wanachama tena katika kipindi ambacho Club iliwahitaji sana wanachama kutoa michango yao
3. Zishafanyika competetion kadhaa ya nani zaidi kuona ni timu gani yenye mashabiki wa kuichangia timu yao, ni Simba ndio iliongoza kuchangiwa pesa nyingi na Yanga mkajitoa baada ya kuona aibu.
4. Supu day (Yanga inawachangia mashabiki)
Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100
Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa,
Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao
Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya mkutano mkuu mgeni rasmi alikuwa Manzoki
Hivi una uelewa wowote juu ya masuala ya uchumi?Hizo budjet ni makadirio tu na wala sio lazima yawe exactly kama yalivyoainishwa.
Kwanza nyinyi msimu ulioisha mmeishia makundi, hizo bajeti za kuifanya Club yenu ionekane imetumia pesa nyingi imetoka wapi?
Kama hamjasafiri, na mara nyingi mkisafiri hamjawahi chukua priivate huwa mnapanda ya public kuepuka gharama. Sasa hayo makadirio ya pesa kubwa yametokea wapi?
Na ukumbuke ni zaidi ya misimu miwili pre-season mnafanyia Avic Town kuepusha gharama, sasa hayo mahesabu ya kuonesha pesa nyingi yametoka wapi?
Hivi kweli hata kwa akili yako tu unaona kweli inaingia akilini timu ambayo imekuwa ikifanya yale yote ambayo Club yako imekuwa ikijiepusha kwasababu ya kuokoa bajeti, Club hiyo ije izidiwe bajeti ya uendeshaji na Club ambayo imekuwa ikifanya kila kitu kwa ku minimize cost?
Vitu vingine hivi naona hadi aibu mimi, hivi Jangwani na Msimbazi ambayo ipo City Center wapi ni sehemu potential?3 Yanga ina jengo na eneo kubwa pale jangwani Kariakoo, sehemu potential kabisa Africa mashariki wakiamua kuuza watauza bei gani, Bado we mbumbumbu unaona billion 100 sio thamani ya Yanga
Yanga ina hekari zaidi ya 7 pale jangwani.Vitu vingine hivi naona hadi aibu mimi, hivi Jangwani na Msimbazi ambayo ipo City Center wapi ni sehemu potential?
Ofsa au wewe ni kazi wa mkoani hujui Jangwani kulivyo?
Tena Jangwani ambako ndio kuna makao makuu yenu yapo ndio kama chamber ya ku store uchafu wote unaotoka msimbazi.
Maswala ya uchumi mbona hapa wala hata hayaitajiki.Hivi una uelewa wowote juu ya masuala ya uchumi?
Mishahara tu imefika billion 8 Kwa bajeti ya last year Bado pesa za usajili na kurenew mikataba, Bado bonuses, Bado camp, Bado usafiri unadhani ni pesa kiasi Gani
Kwa akili hizi na aina ya upumbavu wa Watanganyika kama wewe acha CCM watawale,wauze bandariMaswala ya uchumi mbona hapa wala hata hayaitajiki.
Naweza kujua uongo bila hata kusomea hayo mavitu.
Kulipa mishahara wa 8B nyie sio wa kwanza na wala sio kama mnafanya peke yenu hapa Tanzania.
Na kama kulipa mishahara ya 8B ndio factor inayofanya Club yenu iwe na thamani ya 100B, ngoja nikukumbushe kitu.
Kipindi cha kina Luis Miquison anarejea kwa mara ya pili mishahara ilikuwa inalipwa zaidi ya milioni 600, ambapo ukifanya times 12 range yake ni humo humo kwenye bilion 8.
Sasa najaribu kuangalia uhusiano wa 8b kwa mwaka na thamani ya Club kuwa 100B, natafuta hiyo correlation siipati.
Na ukumbuke huo ni mfano tu wa hapa hapa ndani ila kwakua thamani ya Club yenu mliyoitaja imeonekana kuvuka mipaka kwa kuzipiku timu nyingi hapa Afrika. Unaweza kujiuliza je Al Ahly wanalipa shilingi ngapi ya mishahara?
Je Al Ahly, Mamelody, Esperences nk kwanini wazidiwe thamani na Club yenu ikiwa maeneo mengi ya kiuendeshaji wameonekana kuwazidi kwenye bajeti?