Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

Hizo ni hisa ambazo zinaamuliwa kwa factors nyingi

Na ukumbuke ilikuwa ni 49% tu ya hisa na sio 100% halafu pia kwa wakati ule rate ya dollar tofauti na sasa, that means thamani ya bilion 20 kwa sasa ni zaidi ya hapo.

Tuje kwenu nyinyi ni criteria gani mlizitumia?
Haya kadiria kama thamani ya Simba 49% ilikuwa 20b miaka 7 iliyopita, haya taka thamani ya Simba ya Sasa?
Nyie mbumbumbu hamna akili yaani uko unajijibu mwenyewe Mo anawaibia halafu unapinga upumbavu yaani wewe unaona Simba ni ya kuwa na thamani ya billion 20?
Hapa binafsi naona Thamani ya Yanga ni kama billion 900 na hiyo 100b ni kidogo mno
 
Mashabiki wanaojitambua hujiuliza maswali magumu.
  • Je, takwimu hizi zina uhalisia?
  • Je, bajeti inayotajwa inaendana na matokeo ya kiutendaji?
  • Je, mapato yanayotajwa yanaonekana kwenye maendeleo ya klabu?
Mashabiki uchwara huamini kila wanachoambiwa bila kuuliza. Na hapo ndipo viongozi huanza kupoteza heshima kwa wanachama, wakiamini kuwa wanachama wao ni makondoo tu wa kupokea taarifa bila kuhoji.

Hii ndiyo sababu unaweza kuona kiongozi wa klabu anatoa mchango kwa chama cha siasa (CCM) hadharani, bila aibu, ilhali kanuni za FIFA na CAF zinakataza klabu za mpira kujihusisha na siasa—na hakuna anayemuuliza.
Gharama za usajili msimu huu ni billion 8, mshahara msimu huu imepanda billion 11 Kwa mwaka.
Bado hujahesabu kuweka timu kambi, safiri bonuses, faini zikitokea, kuvunja mikataba ya wachezaji na watumishi wengine na dharura Bado unaona kiasi cha 33b ni kikubwa?
 
Ila yashangaza hao wawili wenye akili ndio wanaoifunga Simba kila leo na kutwaa makombe, je Simba ina mwenye Akili hata mmoja?🤣🤣🤣🤣
Huko umbumbumbuni wapo mambumbumbu kama alivosema Rage
 
Timu haina uwanja,haina vitegea uvhumi vya kueleweka,ina wachezaji wenye thamani ya buku buku halafu unaambiwa ina thamani kuliko Al ahly na Mamelody🚮
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mashabiki wanaojitambua hujiuliza maswali magumu.
  • Je, takwimu hizi zina uhalisia?
  • Je, bajeti inayotajwa inaendana na matokeo ya kiutendaji?
  • Je, mapato yanayotajwa yanaonekana kwenye maendeleo ya klabu?
Mashabiki uchwara huamini kila wanachoambiwa bila kuuliza. Na hapo ndipo viongozi huanza kupoteza heshima kwa wanachama, wakiamini kuwa wanachama wao ni makondoo tu wa kupokea taarifa bila kuhoji.

Hii ndiyo sababu unaweza kuona kiongozi wa klabu anatoa mchango kwa chama cha siasa (CCM) hadharani, bila aibu, ilhali kanuni za FIFA na CAF zinakataza klabu za mpira kujihusisha na siasa—na hakuna anayemuuliza.
Tuletee budget ya mwaka jana ya huko u mbumbumbuni ikiwa na hizo criteria ulizo taja
 
Hiyo ardhi hekari zaidi ya 7 zipo na utajengwa uwanja, baada ya wiki 2 utauona
Hiyo si breaking news ni rerun ya tamthilia ya “Uwanja wa Ndoto” ambayo imechezwa na kila kiongozi aliyewahi kupita Uto.

Mashabiki kama wewe ni rahisi sana kudanganywa

Ukisikia “bada ya wiki mbili tunajenga uwanja,” unashangilia bila kuuliza ramani iko wapi? bajeti iko wapi? mkandarasi ni nani?

Yaani, kila mwaka kuna ahadi mpya, lakini kiwanja chenyewe kinabaki kwenye PowerPoint presentation. Wewe bado unaamini kama vile ni tender ya World Bank.

Kwa hiyo, ndugu, kabla hujapiga makofi ya shangwe kwa ahadi nyingine ya “uwanja wa kisasa,” tafadhali piga hesabu, tafuta historia, na hoji kwa akili. Viongozi wanapenda mashabiki wa aina yako kwa sababu hawana pressure ya accountability wanatoa ahadi, wanapewa shangwe, halafu wanarudi kupiga picha na mabango ya “Coming Soon."
 
Nimekwambia thamani ya kikosi Ahly ni billion 99 sio thamani ya club
Unaelewa maana ya Club?

Unaweza kutofautisha kati ya Club na squad?

Reference niliyokupa imetaja neno lipi kati ya hayo mawili?

Au hujui kusoma?
 
Mbona unatapa tapa hayo wewe ambaye ni shabiki mwenye uelewa nionyesha uwanja wa timu yako
 
Haya kadiria kama thamani ya Simba 49% ilikuwa 20b miaka 7 iliyopita, haya taka thamani ya Simba ya Sasa?
Nyie mbumbumbu hamna akili yaani uko unajijibu mwenyewe Mo anawaibia halafu unapinga upumbavu yaani wewe unaona Simba ni ya kuwa na thamani ya billion 20?
Hapa binafsi naona Thamani ya Yanga ni kama billion 900 na hiyo 100b ni kidogo mno
Level yako ya kujua kusoma ni ipi?

Nataka kabla ya kuanza ku argue na wewe niwe nimejihakikishia una uwezo wa kutosha wa kuelewa hoja ili niepuke kuepusha tuition ndani ya mjadala na kujikuta nafanya kazi mbili, kukufundisha namna ya kuelewa hoja na kukufundisha ili uelewe hoja.
 
Ona hii mbumbumbu haijui kutofautisha kati ya market value na club value
1000357759.jpg

Njoo unipige kichwani basi kama mnavyopenda kupiga kichwani niko na karanga hapa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Unaelewa maana ya Club?

Unaweza kutofautisha kati ya Club na squad?

Reference niliyokupa imetaja neno lipi kati ya hayo mawili?

Au hujui kusoma?
Hivi kweli unajielewa kweli au ndo mbumbumbu yaani kwamba Ahly ina thamani ya b99 tu
Mbona mnalazimisha tuwadharau
Nimekwambia thamani ya kikosi Ahly akina Emam Ashour, Mohamed Hany, kalaba, Rami Rabia, mallool n.k hiyo squard ndo ina thamani ya 99b sio thamani ya club
 
Mbona unatapa tapa hayo wewe ambaye ni shabiki mwenye uelewa nionyesha uwanja wa timu yako
Nani kasema sisi tuna kiwanja?

Hizo bilioni 100 zimekuwehusha kiasi hiki?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Level yako ya kujua kusoma ni ipi?

Nataka kabla ya kuanza ku argue na wewe niwe nimejihakikishia una uwezo wa kutosha wa kuelewa hoja ili niepuke kuepusha tuition ndani ya mjadala na kujikuta nafanya kazi mbili, kukufundisha namna ya kuelewa hoja na kukufundisha ili uelewe hoja.
Jibu nataka wewe unahisi thamani ya Simba Kwa Sasa ni sh ngap?
Ikiwa miaka 7 iliyopita 49% ilikuwa 20 alizopewa mwekezaji, hapo Bado 51% za Wanachama
 
Back
Top Bottom