Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

Yanga ina hekari zaidi ya 7 pale jangwani.
Hayo mengine nimekuacha na upumbavu wako, umeshindwa hoja ya kubisha kuhusu thamani ya club ya Yanga upo kwenye usenge tu
Hoja ya kwamba Yanga ina thamani kubwa kwa sababu ya “eneo kubwa la hekari pale Jangwani” ni ya kujinga na haijazingatia uhalisia wa kijiografia na kiuchumi wa eneo husika.

Ukubwa wa ardhi hauwezi kuwa kigezo pekee cha kuamua thamani ya eneo hasa pale ambapo mazingira ya eneo hilo yanakabiliwa na changamoto kubwa kama mafuriko ya mara kwa mara.

Kusema Yanga ina hekari 7 hivyo ni potential ni sawa na kuanzisha hoteli kubwa ya kifahari katikati ya mbuga yenye wanyama wakali halafu usiweke fensi.

Ni mteja gani atathubutu kuja kula hapo huku jicho moja kwa Simba na jicho lingine kwenye mlango wa kutorokea?
 
Hueleweki
Hutaki Yanga awe na hekari zaidi ya 7 pale Jangwani?
Zile hekari zipo porini?
Hoja yako ni ipi?
 
Hiyo Club value inapimwa kwa vigezo gani?

Value ya Club ni asset au kitu gani? Halafu tuje kujadili, Je ni kweli asset za Yanga zina thamani sana kuizidi Al Ahly na Mamelody

Tupe evaluation iliyofanyia hadi kufikia conclusion ya bilion 100
Mwenye mali ndio anajua thamani ya mali yake nyie hio 20B mlithamisha kutokana na nini?
 
Kwa akili hizi na aina ya upumbavu wa Watanganyika kama wewe acha CCM watawale,wauze bandari
Ahly hawajataja club value wao wametaja thamani ya kikosi ambapo ni dollar million 30 sawa na billion 99
Yaani kwamba gharama za wachezaji wa Ahly akina Emam Ashour, Mohamed Hany, kalaba, Rami Rabia, Ally Malool n.k ndo inafika billion 99 sio thamani ya club yote.
Mbumbumbu karibu kujielimisha mambo yako wazi unakuja kuonyesha ulivo na ubongo wa bata 🦆 hapa jamii forums
Tofautisha kati ya Squad Value na Club value

Hizo ni hisa ambazo zinaamuliwa kwa factors nyingi

Na ukumbuke ilikuwa ni 49% tu ya hisa na sio 100% halafu pia kwa wakati ule rate ya dollar tofauti na sasa, that means thamani ya bilion 20 kwa sasa ni zaidi ya hapo.

Tuje kwenu nyinyi ni criteria gani mlizitumia?
 
K
Sio kweli kuwa Yanga ina wanachama au mashabiki wenye morale ya kuichangia timu yao.

Kwanza kabla ya kuhoji hiyo purchasing power nianze kwa ku question aina ya product ambazo Club inaziuza na mauzo yake yataenda kuifaidisha Club.

Product kubwa kwa Club yenu ni jezi. Nipinge kama una hoja defensively.

Sasa kwenye hiyo jezi inauzwa 45,000 lakini kinachoenda kwenye Club ni 1,300. Yani kwa lugha ya mtaa Club inaambulia kitenge na jiti tatu.

Mpaka hapo taratibu hesabu zinaanza kukataa. Kwasababu ili kufikisha hiyo 3B kwa mwaka, Club itahitajika kuuza jezi copy zaidi ya Milioni 2 na ushee huko. Kitu ambacho hakiwezekaniki.

Wakati huo Simba kwenye jezi peke yake anakusanya zaidi ya 3bilion. Hiyo ni jezi tu na haitajalisha soko limeendaje yeye anauhakika wa hiyo pesa.

Kingine kusema Yanga ina wanachama wenye kujitoa sana kuichangia timu yao haiwezi kuwa kweli kwasbabu ya rekodi hai ambazo zipo zikionesha jinsi gani hii Club yenyewe ndio inajitoa kuwachangia wanachama wake pamoja na mashabiki kuliko ambavyo mashabiki wanajitoa kuisapoti timu yao.

Moja ya mifano

1. Fungulia mbwa kwenye matamasha yenu (Hapa ni Yanga iliwachangia mashabiki)
2. Kipindi cha bakuli hamkuweza kukusanya hata milioni 30 kupitia michango ya wanachama tena katika kipindi ambacho Club iliwahitaji sana wanachama kutoa michango yao
3. Zishafanyika competetion kadhaa ya nani zaidi kuona ni timu gani yenye mashabiki wa kuichangia timu yao, ni Simba ndio iliongoza kuchangiwa pesa nyingi na Yanga mkajitoa baada ya kuona aibu.
4. Supu day (Yanga inawachangia mashabiki)
Kwani thamani ya Yanga ikiwa billion 100 inaku
hata berkane haina thamani ya 100B
Ina wanachama wangapi?
 
Hueleweki
Hutaki Yanga awe na hekari zaidi ya 7 pale Jangwani?
Zile hekari zipo porini?
Hoja yako ni ipi?
Bado hujaelewa tu?

Hoja yangu hapo ni hicho ulichokijumuisha kama sehemu ya thamani ambayo Club inamiliki, hakina thamani kulingana na jiografia ya mazingira yake hamuwezi kui convert hiyo asset iwe kwenye hela.

Hapo ni sawa na kujisifu kumiiki duka kubwa la kuuza barafu kwenye kilele cha mlima Everest. Watu wote rational wanakuona mjinga kwasababu wanaelewa kwenye kilele cha mlima kuna baridi kali ya kugandisha barafu sasa nani atayehangaika kununua barafu zako huko wakati mazingira ya biashara ya barafu yanahitaji hali ya hewa ya joto?
 
Hizo ni hisa ambazo zinaamuliwa kwa factors nyingi

Na ukumbuke ilikuwa ni 49% tu ya hisa na sio 100% halafu pia kwa wakati ule rate ya dollar tofauti na sasa, that means thamani ya bilion 20 kwa sasa ni zaidi ya hapo.

Tuje kwenu nyinyi ni criteria gani mlizitumia?
Mzee kilomoni aliwahi kuhoji hio 20 B nani alifanya valuation hankumpa jibu zaidi ya matusi! nyie pambaneni na hali yenu mliingizwa king
 
Bado hujaelewa tu?

Hoja yangu hapo ni hicho ulichokijumuisha kama sehemu ya thamani ambayo Club inamiliki, hakina thamani kulingana na jiografia ya mazingira yake hamuwezi kui convert hiyo asset iwe kwenye hela.

Hapo ni sawa na kujisifu kumiiki duka kubwa la kuuza barafu kwenye kilele cha mlima Everest. Watu wote rational wanakuona mjinga kwasababu wanaelewa kwenye kilele cha mlima kuna baridi kali ya kugandisha barafu sasa nani atayehangaika kununua barafu zako huko wakati mazingira ya biashara ya barafu yanahitaji hali ya hewa ya joto?
Ukifanikiwa kuwaelewesha hao nyumbu basi hata fisi unaweza kumfundisha kupanda juu ya mti.
 
Kwa akili hizi na aina ya upumbavu wa Watanganyika kama wewe acha CCM watawale,wauze bandari
Ahly hawajataja club value wao wametaja thamani ya kikosi ambapo ni dollar million 30 sawa na billion 99
Yaani kwamba gharama za wachezaji wa Ahly akina Emam Ashour, Mohamed Hany, kalaba, Rami Rabia, Ally Malool n.k ndo inafika billion 99 sio thamani ya club yote.
Mbumbumbu karibu kujielimisha mambo yako wazi unakuja kuonyesha ulivo na ubongo wa bata 🦆 hapa jamii forums
Haya majitu ndio maana yaliletewa Manzoki kwenye uchaguzi
 
Tofautisha kati ya Squad Value na Club value

Nimekwambia thamani ya kikosi Ahly ni billion 99 sio thamani ya club
 
Eti bilioni mia, hata kuhoji hamna niakog tu papapapa

Fullstop, kwishaaaa
 
Bado hujaelewa tu?

Hoja yangu hapo ni hicho ulichokijumuisha kama sehemu ya thamani ambayo Club inamiliki, hakina thamani kulingana na jiografia ya mazingira yake hamuwezi kui convert hiyo asset iwe kwenye hela.

Hapo ni sawa na kujisifu kumiiki duka kubwa la kuuza barafu kwenye kilele cha mlima Everest. Watu wote rational wanakuona mjinga kwasababu wanaelewa kwenye kilele cha mlima kuna baridi kali ya kugandisha barafu sasa nani atayehangaika kununua barafu zako huko wakati mazingira ya biashara ya barafu yanahitaji hali ya hewa ya joto?
Hiyo ardhi hekari zaidi ya 7 zipo na utajengwa uwanja, baada ya wiki 2 utauona
 
K

Kwani thamani ya Yanga ikiwa billion 100 inaku

Ina wanachama wangapi?
Mashabiki wanaojitambua hujiuliza maswali magumu.
  • Je, takwimu hizi zina uhalisia?
  • Je, bajeti inayotajwa inaendana na matokeo ya kiutendaji?
  • Je, mapato yanayotajwa yanaonekana kwenye maendeleo ya klabu?
Mashabiki uchwara huamini kila wanachoambiwa bila kuuliza. Na hapo ndipo viongozi huanza kupoteza heshima kwa wanachama, wakiamini kuwa wanachama wao ni makondoo tu wa kupokea taarifa bila kuhoji.

Hii ndiyo sababu unaweza kuona kiongozi wa klabu anatoa mchango kwa chama cha siasa (CCM) hadharani, bila aibu, ilhali kanuni za FIFA na CAF zinakataza klabu za mpira kujihusisha na siasa—na hakuna anayemuuliza.
 
Back
Top Bottom