Pointless.Nimekutolea mifano ya kihistoria kuhusu uuzaji wa hisa ambayo inabatilisha hesabu yako. Mifano ile ndio inaweza kuwa termed kama mantiki na sio hizi speculations zako
Kwa hiyo, hoja yako ya “ceteris paribus” haifanyi kazi hapa.
Hisa si maharage ya kupimwa kwa mizani ya asilimia. Zinahitaji uchambuzi wa mazingira, historia, na thamani ya kimkakati. Kama huwezi kuonesha valuation rasmi ya Simba, basi hiyo hesabu ya 49% = 20B → 51% = 21B ni ya kufikirika.
Kwa kweli hoja yako ni ya kushangaza na inaonesha kiwango cha juu cha ujinga wa wazi katika kupambanua muktadha wa mkataba.Hivi wewe upo timamu kweli? ni lazima kuwe na channel maalumu ndio yaitwe maudhui? Zile footage za Yanga wakiwa mazoezini, Yanga day, activities zote zinazo rushwa na Azam media zinarushwa kwa mkataba gani?
Ulikaririshwa wapi kuwa 49% zilizouzwa 20B maana yake value ya 51% ni 21B?Pointless.
Leo ukiambiwa 1 share ya CRDB (ambayo labda ni 1/3billion in ownership) inauzwa kwa shs 1500.Ulikaririshwa wapi kuwa 49% zilizouzwa 20B maana yake value ya 51% ni 21B?
Hii ni hesabu ya wapi Sheikh wangu? Unaweza kutufafanulia hizi namba umezipataje?
Hata mbumbumbu wenzako hua wanakushangaaUlikaririshwa wapi kuwa 49% zilizouzwa 20B maana yake value ya 51% ni 21B?
Hii ni hesabu ya wapi Sheikh wangu? Unaweza kutufafanulia hizi namba umezipataje?
Kabla hatujafika huko, nataka kwanza huo mfano wako wa CRDB uwe una reflect muktadha wa mchakato wa hisa uliotumika Simba.Leo ukiambiwa 1 share ya CRDB (ambayo labda ni 1/3billion in ownership) inauzwa kwa shs 1500.
Je, shares 3, siku hiyohiyo zitauzwa shs ngapi? Na zitakuwa sawa na umiliki wa kiasi gani?
Hebu jibu kwanza hilo.
Usidandie hoja za wenzako.Hata mbumbumbu wenzako hua wanakushangaa
Ila unapendaga sana ligi za kitotoUsidandie hoja za wenzako.
Yanga Tv ipo channel gani?
Nikushauri kitu, punguza kukaa vijiweni yaani channel umeona ni big deal sana? Azam wameweza kufungua channel ya vichekesho washindwe Yanga TV?Usidandie hoja za wenzako.
Yanga Tv ipo channel gani?
Usichoelewa ni kwamba ukishaweka IPO (Initial Public Offer) na kuuza kwa mara ya kwanza kabisa, hiyo bei ni market value (Bei unayothani soko litainunua) siyo Book value (yaani thamani ya mali minus thamani ya madeni/liabilities).Kabla hatujafika huko, nataka kwanza huo mfano wako wa CRDB uwe una reflect muktadha wa mchakato wa hisa uliotumika Simba.
Simba haijawahi kuorodhesha hisa zake sokoni, wala kuweka valuation ya wazi ya kampuni. Kwa hiyo, kabla hatujaenda mbali
Thibitisha kwanza
- Ni lini Simba waliweka valuation rasmi ya kampuni?
- Ni taasisi gani ya kifedha ilifanya tathmini ya thamani ya klabu?
- Ni wapi hisa za Simba ziliwekwa sokoni kwa bei ya wazi kama CRDB?
Bila majibu ya maswali haya, huo mfano wako wa CRDB hauwezi kutumika kama kigezo cha kuhalalisha bei ya hisa za Simba, kwa sababu muktadha ni tofauti kabisa.
Katika yooote hayo niliyoyaandika tangu page ya kwanza, ulichoweza kun"gamua ni ligi ya kitoto?Ila unapendaga sana ligi za kitoto
Kijiweni siwezi kuacha kukaa, huko ndio maskani yangu.Nikushauri kitu, punguza kukaa vijiweni yaani channel umeona ni big deal sana? Azam wameweza kufungua channel ya vichekesho washindwe Yanga TV?
Kuna maelezo naweza kukubaliana na wewe, na kuna maelezo nitapingana na wewe kwasababu hayana ukweli au uhalisia.Usichoelewa ni kwamba ukishaweka IPO (Initial Public Offer) na kuuza kwa mara ya kwanza kabisa, hiyo bei ni market value (Bei unayothani soko litainunua) siyo Book value (yaani thamani ya mali minus thamani ya madeni/liabilities).
Sasa kwa kuwa simba hawajawahi kuorodhesha hisa zao, yaani kutoa IPO Dar stock exchange, basi hizo 20B zilizotolewa na Dewji ili kununua 49% ni book value, siyo market value, kama ni market value according to Dewji, basi hiyo siyo offical market value.
Book value inaweza pia kutumika kujua thamani ya kampuni kwa sababu book value ni assets -liabilities.
Ndiyo maana nikakwambia kama 20B ni 49% basi 41B ni 100% based on book value.
Okay ili kupunguza ubishi usio na maana, tuseme ni negotiated value.Kuna maelezo naweza kukubaliana na wewe, na kuna maelezo nitapingana na wewe kwasababu hayana ukweli au uhalisia.
Ukweli uliopo kwenye hoja yako.
Ni ukweli kuwa IPO huweka market value ya awali, na ni ukweli kuwa Simba haikutoa IPO, Na ni ukweli kuwa Book value ni assets - Liabilities
Hoja zisizo na ukweli hapa
Kudhani kwamba kwasababu hakuna IPO basi 20B ni book value.
Kutokuwepo kwa IPO haimaanishi moja kwa moja kuwa thamani ya hisa iliyolipwa ni book value. Inawezekana kabisa ilikuwa ni negotiated value kulingana na matarajio ya biashara, mikakati ya klabu, ukaribu wa familia yake kuisapoti timu, mapenzi yake kwa timu nk . Kwa hiyo, kusema ni book value tu bila ushahidi wa vitabu vya hesabu ni speculation.
Huyu jamaa anapenda sana ligi za kitoto kuna mambo yapo obvious anaamua tu kubishanaOkay ili kupunguza ubishi usio na maana, tuseme ni negotiated value.
But it's a "value" right?
Sasa imagine hiyo value ni sawa na 109B today, so what is the fuss?
👍Kijiweni siwezi kuacha kukaa, huko ndio maskani yangu.
Yes lazima nione kama big deal kwasababu Yanga ni taasisi otherwise utakuwa unafanya makosa kuniambia nisikae kijiweni halafu timu yako inaendeshwa kwa falsafa za kijiweni.
Taasisi haiwezi kufanya blundering na kutotoa sababu za msingi kuelezea kwa mashabiki zake kwanini hilo dili halijawezekana.
Taasisi kukaa kimya ni kutuma meseji kwa mashabiki wake kuwa imewadharau na nyie hamna mandate ya kimaamuzi wala hamna guts za kuwaajibisha viongozi wenu that's why wanakuwa huru kuingia madili hewa.
Ni simple tu, Azam wamefungua channel ya vichekesho kwasbabu lilikuwa ni dili la ukweli haikuwa blunder kama Yanga TV. Hili nalo linahitaji argument?
Mental health is reallyHuyu jamaa anapenda sana ligi za kitoto kuna mambo yapo obvious anaamua tu kubishana