Nina wasiwasi na malezi yako utotoni!,kiufupi nikwambie tu kwamba haustahili kufanya haya uyafanyayo kwa umri wako! Hata kama uko kwenye socio netz.Kuna umri ukifika hustahili ku-act ama kufanya vitu flani ambavyo watu wenye busara watakudharau na kushindwa wakuweke kundi gani.
Najua utanijibu kwa kebehi na matusi lakini huu ni mtazamo wangu,binafsi nilidhani ungejijengea heshima sana kama ungekuwa ukijadili mambo ya maana katika socio netz,mfano njaa vijijini,maisha magumu wa wa-tz,mfumuko wa bei,rushwa,uzandiki.Nilitegemea kwa kuwa umepata mwanga kidogo nje ya nchi ungekuja na kitu tofauti,lakini badala yake unafanya yale yale.Nashindwa kukutofautisha na mwanafunzi aliyemaliza IT pale IFM na kuanzisha ki-socio net (ki-blog/website)chake na kuanza kujadili mambo yasiyo na mbele wala nyuma.Labda nikuulize tofauti yako ni nini na wamiliki wengine wa v-blog?.Kwa nini unapenda kujiingiza katika malumbano yasiyo na msingi na kusababisha uonekane usiyefaa na pia kudharaurika.
Take this:Kama kuna watu wanakusifia kwa tabia zako basi ni wanafiki,em chukua muda kutafakari marafiki zako wa karibu ni wa aina gani acha wale wenye heshima zao ambao mpaka uwasalimie wewe na sio wao kukutafuta wewe,kisha ukipata jibu usinijibu,
Najua utatukana ila nadhani umeelewa
1. UNA WASI WASI NA MALEZI YANGU UTOTONI:- Nimesoma Shule zote hapa bongo, nimeenda Ulaya nimejisomesha ,mwwenyewe Degree 3, nimerudi bongo ninajiajiri na kuishi maisha yangu na kulipia kila kitu kwenye maisha yangu na sijawahi kukuomba anything, unasema una wasi wasi na utoto wangu au unatakiwa kuwa na wasi wasi na utoto wako? Maana huwezi kuwa mtumzima mwenye akili ukawa na wasi wasi na mtu mwenye profile ya maisha kama yangu unless utoto wako una wasi wasi sasa unafikiri binadam wote utoto wao una wasi wasi kama wako pole sana.
2. WATU WENYE BUSARA WATANIDHARAU:- Ok utoto wako sio siri una wasi wasi kama ulivyosema mwenyewe so sio tatizo ukinidharau, ila sijui ni watu gani unaowaongelea kuwa na busara kwenye hii jamii kuliko wote ninaowajua na tunaheshimiana sana na infact ninafanya nao kazi zangu na zao all the times, ila kama hao watu ni wewe sitashangaa maana kama ulivyosema utoto wako una wasi wasi na hapa ina maana moja tu kwamba wewe unadharaulika sana kwenye jamii sasa unadhani ni wote, pole tena!!
3. NI MTIZAMO WAKO:- mtizamo wako mtu unayeingia kwenye mtandao kwa majina ya bandia na kuanza kuingilia maisha ya watu kama mimi tunaoingia kwa jina kamili na kuanza kutoa ushauri bila kuombwa unasema kwa kufanya hivyo wewe unajijengea heshima hahahaha nasikia kuanza kucheka now maana this is the lowest point so nimewahi kuisoma hapa JF hahahahaha, eti hivi unajua hata maana ya neno HESHIMA? hahahahah
4. ILI NIPATE HESHIMA NIONGELEEE MAISHA YA VIJIJINI:- Ambako sijawahi kuishi wala sijui yakoje unasema wewe uneheshimika sana kwenye jamii kwa sababu unaongelea hayo mambo? hahahahah yaani unazidi kunivunja mbavu yaani wewe sasa ni Kiranja wa JF wa kuamulia watu nini cha kuongea ili waheshimike, mbona hukunishauri kutumia majina ya bandia kama wewe maana hiyo ndio base hasa ya heshima yako kubwa hapa JF, au? hahahahahahah
5. TOFAUTI YA MY BLOG NA ZINGINE TANZANIA:- Mapato tu fanya utafiiti utagundua kwamba blog yangu inapitiwa na viewers 70,000 - 100,000 kwa siku labda ni kwa sababu siheshimiki ndio maana watu wanaipenda blog yangu au unasemaje? hahahaha halafu tofauti kubwa kuliko zote ni malipo yaani mapato kutoka kwenye malipo ya matangazo, ukifanya utafiiti wa kina sana utaiona hiyo na ninashukuru sana kwamba inapitia sana kwenye blog thanks.
6. WANAONISIFIA NI WANAFIKI:- OK Gazeti la VibemagazineTZ ni wanafiki maana nenda anagalia watu wote waiowahi kupewa Cover na hilo gazeti na mimi wakaniweka kwenye hao watu unasema ni wanafiki wewe usiyenijua ndio mkweli? Marafiki zangu ni wanafiki wote wewe ndio rafiki yangu wa kweli unayetumia majina ya bandia kunifuatilia na kunishauri ujinga ujinga, I mean you took a lot of time kuandika mgazeti as if una point mnafiki hapa ni wewe unayetumia majina ya bandia kunifuatilia na bado hunifahamu, hivi ningekuwa nimeiba nipo jela ungesema nini au ningekuwa nakuomba pesa za maisha yangu ungesema nini? Mnafiki hapa ni wewe so nenda jiangalie tena!!, Kama ni marafiki sijui kama nina tatizo nao ninao wengi sana tena kila kona ya Dunia kila kona ya Tanzania, hukuona mama yangu alipoumwa hivi hukusikia ile habari vizuri kuhusu marafiki zangu waliyonifanyia, sasa ulitaka niwe na rafiki kama nani wewe ,mnafiki mkubwa? please!!
6. KWA NINI NINAPENDA MALUMBANO:- Sasa bila kulumbana watu watajuaje kama una akili au huna? Halafu hivi vyeo vya siasa nilivyonavyo nilipataje kama maneno yako ni kweli? Wewe jifunze kuwasoma watu vizuri bila kuingiza hisia zako za binafsi, umeandika maneno menggi sana ndio maana nimeamua kukujibu kirefu ili kuwasaidia na wengine wengi wajinga kama wewe kwamba mimi I am fine with my life ninapoandika huu waraka nipo ofisini kwangu I hope na wewe pia upo kama mimi unajiajiri na ofisini kwako, bila Malumbano nisingefahamika na Jamii mpaka kuanza kulipwa kupitia Social Media, so pole sana kama nakukwaza na ma;lumbano ila mimi bila Malumbano siwezi kulala sawa sawa hahaha U know!!
7. UNAJUA NITATUKANA:- Hapana mimi situkani watu huwa nawaelemisha watu wajinga kama wewe for sure ni mjinga sana kuliko wajinga wote niliowahi kukutana nao hapa JF, kwa sababu unajaribu kujifanya unanijua na ukweli ni kwamba hunijui, unajaribu kujifanya una heshima kumbe huna heshima kabisa ni mjinga maana ungekuwa na akili ungetumia ID zako kamili ndio ungekuwa na heshima kama mimi ninayetumia ID zangu in full, kuhusu maisha yangu hayakuhusu na I am fine sihitaji ushauri wa mtu kama wewe anayetumia majina ya bandia no way never, baki na ushauri wako maana ni puer nonsense!!
- Well, nimeschukua nafasi hii kuwajibu wengine wote hapo juu maana maneno na kelele zenu za mlango zipo humu kwenye hii post ya juha namba moja, so kuleni majibu hapo kama kuna asiyeridhika nipo hapa namkaribisha ila njoo na hoja sio nonsense kama za huyu juha namba moja!! hahahahaha
Le Big Show