Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, umepewa bure unatoa bure,HahahahaZipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu
Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
HahahahaEti mmepewa si ungeandika tu tumepewa..ili tukuelewe Domo zege.
Umeanza chai mkuu.. Wewe mpaka unagombaniwa humu . huo udomo zege umeutoa wapi !?Kumbe madomo zege tumetafutiwa fursa? Naenda huko kujichagulia
Ahsante Mkuu kwa taarifa muhimu km hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kanigombania humu? Una ushahidi Mkuu na unachokisema?Umeanza chai mkuu.. Wewe mpaka unagombaniwa humu . huo udomo zege umeutoa wapi !?
Hahaha ushahidi ninao Mimi ni modsNani kanigombania humu? Una ushahidi Mkuu na unachokisema?
Hebu niache niende huko kwenye vinono
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,masiharaHahaha ushahidi ninao Mimi ni mods
Wapi wanaonesha mpira bure nihamie!?maana leo mechi ya simba nimeangalia kwa buku
HahahahaIko hivo
Wapi uliwahi kuona mwanamke anapatikana bila hela? Hakuna mwanamke anaetoa uchi wake bure, hakuna Duniani.Sasa toka lini malaya anatongozwa? Kule ni hela yako tu, haina tofauti na mademu wa bar au wale wanaojipanga barabarani!
Badoo demu anakutolea nje? Mkuu hiyo sio mkosi tena, ni laana😂😂😂.Tangu nitolewe nje na kadem ka badoo nimekata tamaa kabisa
Zipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu
Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
LIVE IT LOVE IT
uzi wa kula tunda kimasihara si kuna mbinu zote anataka nini tena
Aisee!Kama dating zenyewe ni kama unaita uber ikifuate ulipo means huduma inatolewa kwa yoyote,ni wewe na pesa yako tu
Msisahau kutumia condom