Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

Uzuri siku hizi ..hamna kutongozanazana kiivyo ...pata namba ...viutani vya hapa na pale ..dear..my dear ...imeishaaaa hiyoooooo
 
Shikamooooo.....
 
Na wanaopatikana huko wengi wako rasmi kuuza kwa kila atakaye huduma, kutongoza kuna hadhi yake
 
Huna mpango wa kuoa?
 
Wapi uliwahi kuona mwanamke anapatikana bila hela? Hakuna mwanamke anaetoa uvhi wake bure, hakuna Duniani.
Mbona mabeki tatu tumewala sana bila kuwapa hela wakati tunakua..kuna instance unaweza kupewa uchi bila kugharamia
 
Punyeto ni kwa ajili ya kubana matumizi,,na kujiepusha na ngono zembe ,, sio udomo zege..
Watoto kama
Nick manaj,,Beyonce,,kareena kapoor,,priyanka chopra watu tushapita nao siku nyingi tu..na sasa hatuna habari nao..
Tunaringa tu
 
Punyeto ni kwa ajili ya kubana matumizi,,na kujiepusha na ngono zembe ,, sio udomo zege..
Watoto kama
Nick manaj,,Beyonce,,kareena kapoor,,priyanka chopra watu tushapita nao siku nyingi tu..na sasa hatuna habari nao..
Tunaringa tu

Wee jamaaa umenichekesha kweli...ila mzee umewataja warembo wa ukweli🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wee jamaaa umenichekesha kweli...ila mzee umewataja warembo wa ukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana mkuu,,watu wanadhani kupiga puchu ni udomo zege,,
Kumbe ni kutotaka usumbufu kutoka kwa wanawake na kugegeda mwanamke umtakae ,,tena bure kabisa,,kkkkk..
 
Sana mkuu,,watu wanadhani kupiga puchu ni udomo zege,,
Kumbe ni kutotaka usumbufu kutoka kwa wanawake na kugegeda mwanamke umtakae ,,tena bure kabisa,,kkkkk..

Dah wee noma ila unatoa point. Na uzuri wake unaweza gegeda warembo wawili kwa bao moja alafu wote wazuri...no stress
 
Madomo zege tupewe pesa ( money money ), maana hakuna cha bure
 
Dah wee noma ila unatoa point. Na uzuri wake unaweza gegeda warembo wawili kwa bao moja alafu wote wazuri...no stress
Sana mkuu,,,sometimes unajikuta huna hamu kabisa na nick minaj au Beyonce,,yaani ushamalizana nao kitambo tu,,,hao akina sanchoka ndy huna habari nao kabisa,,,ushawakinai,,
Demu yeyote wewe unagegeda,,tena pasi na mwenyewe kujitambuwa,,
Pesa zako Fanya mambo mengine ya maendeleo..
No woman no stress mkuu..
 
tafiti zinaonyesha mtu anaeita wenzake madomo zege yeye ana phd ya udomo zege
Tena inaonyesha mtoa mada ni bingwa wa kutongoza kwa msaada wa keyboard ya Simu..
Akiwa live na demu,domo limejaa ganzi..
 
Tena inaonyesha mtoa mada ni bingwa wa kutongoza kwa msaada wa keyboard ya Simu..
Akiwa live na demu,domo limejaa ganzi..
hahah nakumbuka siku moja tuikuwa na aada hivi mwanaume ambaye kawa kijana miaka 25 lakini bado hajamlala mwanamke anaitwaje, basi akatokea jamaa moja akaanza kuponda kinoma na kuwadharau hawa wanaume na kuwaita majina yote ya fedheha, Kumbe jamaa tulishamsomaga yeyey mwenyewe hanaga hata demu na yupo vibaya sana kwenye sekta ya mahusiano ana aibu aibu, Tukampiga maswali pale ya viungo vya mwanamke akatoka kapa, tukajua jamaa hajawahi aisee. Hana utofauti na mtoa maada yaelekwa mtoa maada na miaka 30 hajawahi hata vua chupi mkuu
 
Sometime muwe makin na izo dating sites , kuna rafiki yangu alikiwa anachat na mdada over age, akamfuata msela moshi, jamaa hakuamin siku ana muona huyo mwanamke ni alikuwa overage sana na bibie ndio katoka mkoan moro kwenda moshi anachokitaka ni kimoja tu DOZI

Jamaa kila akijaribu kumkatalia bibie akagoma kutoka geto unajua kwann ? Bibie alikuwa anashida ya kupata mtoto miaka mingi na alikwenda kwa sirngoma bac sirngoma akamwambia akitaka kupata mtoto bac atembee na mwanaume wa nje ya mkoa alipokuwa anaishi amnapo ilikuwa ni moro. Ikabidi msela atowe dozi japo kwa shingo upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…