That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

Sipondi kupanda daladala huyo alikuwa ni icon pale Clouds Tv kwenye upande vipindi vya burudani alifanya kazi nzuri sana ghafla Clouds wakasitisha mkataba wake na alishawahi kudai wakati anapitia changomoto za ugonjwa ofisi yake walikataa kugharamia matibabu yake.

Hii ni prove kwamba maboss wengi wapo attached na uwezo wako pekee siku ukiwa down wanakutupa so ni angalizo kwa vijana kujitengenezea uwezo wako binafsi Incase hata wenye power wakikuacha unakuwa comfortable na sio kuanguka.

Mbona babui wa kitaa hawakumtupa kama casto?
 
Umbea tu!Wenzio umbea unawaletea pesa na unamwaga bure!ungemuuzia Mange picha kichwa cha habari kingesoma"Castor Dickson achafua hali ya hewa"kalagblabaho
 
Ulinunua la kazi gani?
Kuna safari za kutumia gari lako na safari za kupanda basi si lazima utumie basi tu au gari lako tu, that logical fallacy is a false dichotomy.

Kuna jamaa kashatoa use case hapo juu kwamba yeye akiwa na gari lake safari za Kariakoo anatumia mwendokasi ni convenient zaidi.
 
Nachojua ukiwa clouds ni rahis kupata connection za kibiashara ambazo unaweza kuongeza kipato .

Sio kwamba huyu jamaa hafanyi Kazi au yupo Kama unavyojaribu kumuweka .

Anafanya Kazi na yupo seven media .
Hivyo usitegemee akawa Kama alivyokuwa mwanzo.
 
Mimi mwenyewe naenjoy sana kupanda dala dala

Ova
 
Wabongo huwa wanafurahia kuona mtu akianguka
Kejeli zinakuwa nyingi sana

Ova
 
Kupanda daladala muda mwingine jau sana, pirika za asubuhi ukiamka mtoto wa kiume lazima mnara uwe unasoma mara kwa mara. Sasa kwenye daladala hawalijui hilo wanakuita dunga dunga. Sasa mambo gani hayo?
 
Back
Top Bottom