Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Umenifanya nirudi kuangalia picha!! Afu it seems ni siku tofauti maana saa hazifanani!!!Ina maana hata nguo pia hana nyingine? Pole sana kwake.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nirudi kuangalia picha!! Afu it seems ni siku tofauti maana saa hazifanani!!!Ina maana hata nguo pia hana nyingine? Pole sana kwake.....
Sipondi kupanda daladala huyo alikuwa ni icon pale Clouds Tv kwenye upande vipindi vya burudani alifanya kazi nzuri sana ghafla Clouds wakasitisha mkataba wake na alishawahi kudai wakati anapitia changomoto za ugonjwa ofisi yake walikataa kugharamia matibabu yake.
Hii ni prove kwamba maboss wengi wapo attached na uwezo wako pekee siku ukiwa down wanakutupa so ni angalizo kwa vijana kujitengenezea uwezo wako binafsi Incase hata wenye power wakikuacha unakuwa comfortable na sio kuanguka.
Ulinunua la kazi gani?Bongo hata ukipanda daladala kwa sababu ni mwanamazingira tu unaepuka kutumia gari lako kuongeza carbon emissions, unaonekana umelosti. 😂😂😂
Kwani huyu ni nani na nini kimentokea mkuu?Huyo fala alikuwa mshamba wa mapenzi, tulimuambia hakusikia
Kuna safari za kutumia gari lako na safari za kupanda basi si lazima utumie basi tu au gari lako tu, that logical fallacy is a false dichotomy.Ulinunua la kazi gani?
DicksonNi nan huyu?
Mkuu una macho...Ina maana hata nguo pia hana nyingine? Pole sana kwake.....