The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate


1995 Mkapa aliwagaragaza akina Mrema, Cheyo, na Lipumba.
 
Unadhani wakikuyu na wakalenjin watapiga kura kwa kufuata maelekezo ya serikali ya binamu Barry?

Mkuu nadhani hawawezi kumskiliza mjomba baraka. Wakipsigis, Wakeiyo na wanandi watashirikiana na wakikuyu kupambana na waluo na wakamba.
 


Halafu B nimekumiss.:shut-mouth::shut-mouth:

sasa utakuta labda M7 na kina Raila wana madeal mengine kibao yasiyo halali, sasa partners in 'crime' inkuwa vigumu kuchenjiana ki ivo ndo iutasikia 'tutalimaliza kidiplomasia"
 
Nyani Ngabu, Martha is something else. I tell you I am proud of her.

Those who thinks women are weak, I urge them to listen to Martha.

She made my night.

Queen Esther

But this is Martha Karua. An individual. What makes you generalize that she symbolizes women? That because she is strong, women are not weak. That because she is strong,another woman is also strong; and all women are strong.
 
He is just a gentleman. Its kind to mention a name when talking to a lady. I loved him for that too, you know.
Hahahahaaaa!! so you pretend that you are not feeling jealous?...Haya mkoya!!
 
I think it's important for someone who is vying for the presidency to refrain from comments that could be construed as hostile.

it doesnt matter kwa wapiga kura 'wahafidhina' wao wangependa mtu anayeweza kutetea mipaka ya nchi, au anayeonyesha kuwa na uwezo wa kuitetea kwa njia yeyote ile....
 
A bit taken aback that Al Jazeera is covering debate live.
 


Naona mkuu unaukumbuka ule mdahalo! Kuna wakati mzee wa Kilalacha alitaka kumkunja Mzee Mapesa kwenye mdahalo mbele ya camera. Watu wakaona huyu!

Mimi naamini kama si ule mdahalo mrema angefika mbali.

Naona hapa pia Peter na Ole Kiyiapi wanataka kushambuliana!
 
Hivi kama huko Kenya wana uhaba wa walimi 100,000 inakuwaje huku kwetu wapo "walimu wakenya" kwenye hizi "english medium" zetu, au tunawalipa vizuri zaidi?
 
Shule za 'kata' Kenya hazina vitabu wala walimu - suala hili la kuwa na matabaka kielimu linanifurahisha kuona linapewa uzito ktk mdahalo huu ingawa utekelezaji ni suala lingine'
 
1995 Mkapa aliwagaragaza akina Mrema, Cheyo, na Lipumba.

Wengine walizusha kuwa alipewa maswali kabla hivyo akajiandaa in advance, pia kukawa na malalamiko kuwa kipaza saauti cha mrema kilichakachuliwa though haikumzuia kushuka points...
 
Iyo picha ya Uhur Kenyata, hayo macho anavuta bange au mirungi imezidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…