Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
- Thread starter
- #261
Julie is going in HAM on the candidates!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm starting to like Martha....she seems to be one tough cookie.
Ile kitu ya tarime inafanya Kazi... Ndio maana akaenda break kuongeza....
Hahahaaa haya bana. Wewe nikumbushie machungu tu lakini jua kwamba Hillary atagombea tena 2016 na safari hii atashinda. Au umesahau kama mimi ni Team Clinton?
Halafu sidhani kama Uhuru anafanya vibaya kwenye huu mdahalo. The guy is very well-spoken and he knows his stuff.
Nyani Ngabu, Martha is something else. I tell you I am proud of her.
Those who thinks women are weak, I urge them to listen to Martha.
She made my night.
Queen Esther
Mkuu mimi naona huyu Political Scientist cum economist, Mr. Kenyatta anamfunika Odinga kwenye huu mdahalo so far.
Hivi Raila aliposema Migingo is a "piece of rock" haitamletea matatizo maana issue za mipaka huwa ni sensitiive..isije ikafika mahali na sisi tukasikia mgombea wetu aantuambia LAke nyasa ni kama Mindu tu
Kwahiyo Hillary amejitoa serikalini ili ajipange kuingia kilingeni sio?
Uhuru anaweza kushinda kwa kubebwa na ukabila lakini hayuko composed kama Agwambo!
Julie is going in HAM on the candidates!
Naona amekosa mwelekeo baada ya kushambulia na issue ya ICC lakini hata Raila sijaona kama amefanya lamaana zaidi ya kujiandaa na vijembe kwa Kenyatta
Wakati wa break profile yake ilisema ni "no nonsense barrister".
Kuna shida hapo. Kipande cha nchi unakiita a piece of rock! Kenyatta kalijibu vizuri sana hilo swali. Martha Karua akawatupia dongo executives wanaogombea urais kwamba hawakufanya lolote. Linus akamtupia swali hilo Raila, Raila akishia kusema a piece of rock!
Mkuu swali la ICC lilikuwa ni killer question lakini jamaa kajitahidi kupambana nalo na Kenneth akamsaidia.
Hii debate inanikumbusha ule mdahalo wa hapa Tanzania wa mwaka 1995 ambapo ulimporomosha Mzee wa Kilalacha na kumuinua Mzee wa Lupaso.
Mi mwenyewe nimeshangaa kwa kauli yake hiyo...nadhani sio nzuri sana kwen jukwaa kama hilo,,,,bora jamaa aliyesema angepeleka navy na anajua waganda hawana navy...