The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Martha Karua anaua sasa kuhusu matumizi makubwa ya fedha kwenye kampeni. Huwa naona akina Kenyatta wakitumia helcopita kuchana anga.

Raila amepatikana leo. Siuoni umahiri wake ambao huwa nauona kwenye kampeni
Raila ujanja wa mbuni tu...
leo kanywea kuliko hata Mwalimu Dida!
 
Raila Odinga under pressure over his ministry's over-spending on trips. Definitely he can never spend more than our joy rider H.E Jakaya M. Kikwete.
 
Wagombea wangapi watoto wao wanasoma shule za serikali (public school): Swali zuri waulizwa wagombea kuhusu sekta ya elimu.

Ni mgombea mmoja tu Prof James ole Kiyiapi ambaye watoto/mtoto wanasoma shule za serikali (Public school), kazi kwa wapiga kura kuamini shule za serikali zitapewa kipaumbele cha kupatiwa nyenzo na walimu bora ili watoto wa wananchi wapate elimu inayolingana na elimu wapatayo 'matajiri/vigogo.
 
B nilikuuliziaga pale Chako nikaambiwa hujawahi hata kukanyaga ni kumbe unaosheaga tu JF...mweeh!

Raila aende zake huko na majibu yake 'mepesi' kama ya huyu mshikaji wake wa bongo.
Nini? Unamfananisha Odinga na huyu kilaza wa Tanzania.? Nakwambia Kikwete akiwekwa hapo hataweza kusema hata maneno mawili.
 
Mods ndiyo nini sasa bana na nyie? Mbona hii mmeileta huku kwenye misiasa ya bongo?

He Kumbe tupo Siasani?

I better watch my steps....

"lawyers are very funny characters".....mgombea Urais huyo
 
Just noticed the interpreter changed, must be a tiring job that one.
 
Anajisukuma mwenyewe na majibu yake mepesi na spidi yake ndogo ya kujibu maswali...:becky:

Yaani Raila ameshindwa kujipambanua kama Rais mtarajiwa. Huyu ni mtu ambaye yupo serikalini kama one of the two principals lakini hana lolote hadi Peter Kenneth anaonekana kujua mambo ya kisrikali kuliko yeye!

Ila tukumbuke Raila ni Mhandisi na udhaifu wa wahandisi unajulikana linapokuja suala la kujieleza wao ni mahiri wa numbers x[SUP]2[/SUP]
 
Nini? Unamfananisha Odinga na huyu kilaza wa Tanzania.? Nakwambia Kikwete akiwekwa hapo hataweza kusema hata maneno mawili.
Maneno mawili yapi? Ya kibagamoyo au kizungu? Usisahau ana misemo lukuki yule kwa hiyo usimdharau...
 
Yaani Raila ameshindwa kujipambanua kama Rais mtarajiwa. Huyu ni mtu ambaye yupo serikalini kama one of the two principals lakini hana lolote hadi Peter Kenneth anaonekana kujua mambo ya kisrikali kuliko yeye! Ila tukumbuke Raila ni Mhandisi na udhaifu wa wahandisi unakulikana linapokuja suala la kujieleza wao ni mahiri wa numbers x[SUP]2[/SUP]
Raila anajua kujieleza sana kwa vitendawili na mkeka nusu but this is too formal for him.
 
Raila for Comprehensive Health Insurance Scheme. The same scheme approved by parliament but not assented by Kibaki.
 
......boys stronger than the gov, this is bad for raila
 
Raila anajua kujieleza sana kwa vitendawili na mkeka nusu but this is too formal for him.

We know you are a TNA and Uhuru Kenyatta apologist & we know why?! A dose of Ad hominem.
 
Aguambo anazidi kujichanganya anasema alishindwa kufanikisha affordable healthcare kwa sababu ya resistance from big boys.....:smile:
 
Heee kumbe ambulance za bajaj tulizikopi toka Soth Africa na Nigeria?
 
Back
Top Bottom