The 2019 NBA Playoffs

Naona Kama Celtics are firmly in control of their opening - around series.
 
Reactions: BAK
Celtics need another year Aiseeeh. I better go with Bucks.They got their big 3
 
Reactions: BAK
Luke Walton Baada Ya Kuachana na Los Angeles Lakers Kama Head Coach wao Hapo Ijumaa has been named as the Sacramento Kings HC replacement for Dave Joerger.
 
Reactions: BAK
Clippers They were going to change the game by staying the same.
 
Reactions: BAK
Introduction of all NBA teams zilikuwa 9, 10 ilikuwa hii ya Da Bulls.

 
Bpra hata KING angekuwepo kwenye playoffs. Nba imepoaa haina hata amsha amsha. Umuhim wa mtu huonekana pale anapotoweka…… dah next time hata kwa siasa tupo naye.
 
Hahaha nilishasahau kama Jason Taytum ana exist.
Nilisikia D'Angelo aligombana na Nick Young ndo maana Lakers walimuachia. Alafu nilitegemea Lonzo angesaidiana zaidi na LeBron lakini kweli labda season ijayo.
Unataka kumaanisha Nick Young alikuwa muhimu pale Lakers kuliko D Angelo? i don't think so, Sometimes management zinafanya decision kwa ajili ya Draft za wachezaji wapya.
 
Sure, maana wangebaki na D'Angelo, wakamchukua Jayson, wangekuwa vizuri sana.

Na Lonzo namwona kama ni injury prone.
Dats Y hata Magic ameamua kuresign. Manake u r thinking about teams future and players but they think about Dollars. Dats Y sikukubaliana kabisa na move ya LB kwenda Lakers.
 
D White Was Absolutely Killing it Last Night! What a performance. Can't Wait for Game 4 Let's get this for W. Spurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…