Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Uefa ya Basketball
Sent using Jamii Forums mobile app
Soccer, kwa hiyo ni ngumu kuangalia Basketball kama kuna soccer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uefa ya Basketball
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu Brooklyn Nets imeingia kwenye playoffs maajabu.
But in my opinion they made a huge mistake when they let go of Harris.
Unataka kumaanisha Nick Young alikuwa muhimu pale Lakers kuliko D Angelo? i don't think so, Sometimes management zinafanya decision kwa ajili ya Draft za wachezaji wapya.Hahaha nilishasahau kama Jason Taytum ana exist.
Nilisikia D'Angelo aligombana na Nick Young ndo maana Lakers walimuachia. Alafu nilitegemea Lonzo angesaidiana zaidi na LeBron lakini kweli labda season ijayo.
Dats Y hata Magic ameamua kuresign. Manake u r thinking about teams future and players but they think about Dollars. Dats Y sikukubaliana kabisa na move ya LB kwenda Lakers.Sure, maana wangebaki na D'Angelo, wakamchukua Jayson, wangekuwa vizuri sana.
Na Lonzo namwona kama ni injury prone.
Labda kwa wakati huo walimuona nick ni valuable kuliko RussellUnataka kumaanisha Nick Young alikuwa muhimu pale Lakers kuliko D Angelo? i don't think so, Sometimes management zinafanya decision kwa ajili ya Draft za wachezaji wapya.