THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

Hiyo movie inaelezea yoote kuhusu mark! Very interesting movie! Link yake sina ila unaweza google kwenye torrents kama ukikosa tafuta wauza movie watakupatia!! Jina ni THE SOCIAL NETWORK
Ahsante mkuu
 
Ukiweka muendelezo mkuu naomba unitag na mm, stori nzuri inaamsha husia za ubunifu
 
Yupo kimya sana jamaa, shusha vitu hivyo viishe mkuu.
 
Dah mkuu story ikinoga unaipotezea tusubiri mpaka Lini?
 
Aiseeeeee sie huku bara Giza tunakimbizana na mange tunataka kufilisi familia yake
 
Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Jaribu kuwa na fikra thread ndeeeefu inayochoshaaaa unai quote yote ni kero kubwa sana kwa tunaotumia simu kuingia jf.
 
Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Mbona fupi..

Alafu achaga UKOMA wako waquotes uzi mzima

Punguza uvivu wa kusoma
 
Back
Top Bottom