Ahsante mkuuHiyo movie inaelezea yoote kuhusu mark! Very interesting movie! Link yake sina ila unaweza google kwenye torrents kama ukikosa tafuta wauza movie watakupatia!! Jina ni THE SOCIAL NETWORK
sasa we ndo umefanya nini?Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Dah mkuu story ikinoga unaipotezea tusubiri mpaka Lini?
Yupo kimya sana jamaa, shusha vitu hivyo viishe mkuu.
Aisee mkuu Stand Alone, mbona kimya
Dah mkuu story ikinoga unaipotezea tusubiri mpaka Lini?
Napost leo,story inaendelea leo
Nipo naiandaa, nikimaliza tu napostMkuu saa ngapi?
Maana tunaisubiri sana.
Nipo naiandaa, nikimaliza tu napost
Jaribu kuwa na fikra thread ndeeeefu inayochoshaaaa unai quote yote ni kero kubwa sana kwa tunaotumia simu kuingia jf.Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Mbona fupi..Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho