Mkuu kwani beki alikua peke yake?!Acha mihemko mkuu. De light yupi unaemzungumzia wewe yule alietagisha matatu mechi ya Spurs?
We ubest wa mtu unaangalia nini, hizo sio tuzo za mafanikio ya timu mi tuzo za mchezaji bora wa dunia.Kwa kweli jana FIFA wamechemka, mimi mpaka leo nashindwa kujuwa vigezo. Navyojuwa inaangaliwa msimu mzuri kwa mchezaji mwaka ule sio history. Ok ni kweli Messi ni mchezaji bora sana lakini hakufanya vizuri mwaka huu lakini wamempa na mbaya zaidi jana bahasha haijafunguliwa Messi kishafika nyuma ya stage je majibu yanapangwa? nisieleweke labda simkubali Messi hapana ni bora sana tu lakini sio mwaka huu. tuache huko FIFA 11 eti Marcelo kachaguliwa jamani kwa lipi? kuna full back 2 za Liverpool walikuwa bora kabisa mwaka huu. Marcelo??? team 4 za EPL zilikuwa final leo wanakuja wanasema wachezaji wawili wa Ajax sababu tu walikuwa na msimu mzuri kuisaidia Ajax nusu final sasa wale waliofikisha team zao final? Sadio Mane kaisaidia Liverpool ubingwa wa ulaya na Senegal final za Africa nje. kweli nimeamini Nike na Adidas ndio wanaushawishi mkubwa. ndio maana Ronaldo jana hata kwenda hakwenda utasema aliambiwa Messi atapewa ingekuwa VVD angeenda. FIFA watuambie tu vigezo ni nini? eti Modric sijui Marcelo kwa lipi hasa team zao wanapigwa bench hii kuwakosea heshima wachezaji wengine. Ramos alikuwa na msimu mbovu na Real eti beki bora hapana kwa maoni yangu jana sio sawa. Messi mchezaji mzuri duniani? Yes. je mwaka huu alikuwa best? NO
Nimekuelewa mwambaMngoni anasema huwezi kuwa number 2 Mwanza halafu ukawa number moja Tanzania
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Lionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Tafuta statistics za Messi msimu wa 2018/19 na za huyo B. Silva. Ni mbingu na ardhi.Yawezekana hkuwa ukitizama huo mpira.
Sihitaji kumueleze sana Alison kwa kiufupi tu alitoka na cleansheat 5 kwenye mechi sita za Copa America.
Tafauti kubwa kati ya liverpool ya 2017-2018 na ya 2018-2019 ni Alison. kutoka point 70 pl mpaka 96. Kutoka Runner Up Mpaka ubingwa Ulaya.
Na kwa yoyote aliekua anatizama vizuri soka naamini alimuona vizuri Silva.
Wewe huzungumzii overall performance unachozungumzia wewe ni kufunga magoli mengi tu.
unataka kuniambia sneijder, xavi na iniesta hawakuwa na juhudi?Hii ni tuzo ya mchezaji bora, juhudi kubwa hasa ya mchezaji inaangaliwa.
Kama ishu ni kubeba makombe basi hata Xavi, Sneidjer, Iniesta wangekuwa na hii tuzo.
Ndio maana wanaangalia juhudi binafsi.unataka kuniambia sneijder, xavi na iniesta hawakuwa na juhudi?
mwaka 2010 inter milan walibeba makombe matatu makubwa barani ulaya, mwaka huo huo uholanzi walifika fainal kombe la dunia na key player alikuwa ni wesley sneijder mbona hakushinda tunzo?
argentina alitolewa robo fainali na ujerumani
barcelona alitolewa nusu fainali dhidi ya inter milan.
kwa sababu alifunga magoli mengi la liga na uefa kama kawaida tunzo akapewa messi
Naomba nikujibu mkuu...Mchezaji anapewa tuzo kwa vyote hivyo viwiliMkuu, ngoja nikuulize swali dogo kabisa, Je kwa mtazamo wako wewe unaona mchezaji tumpe tuzo kwa overall perfomance yake ya msimu mzima au tumpe tuzo kulingana na makombe aliochukua ndani ya msimu mzima?
Tafadhari sana naomba unijibu bila ya maelezo meeeengiiii
Mashindano yote barani ulaya VVD alikuwa bora...kuanzia EPL,UCL mpaka National teamMkuu, inawezekana walikosea kama waliangalia overall perfomance ya mchezaji kwa msimu mzima wa mashindano yote ya barani ulaya na inawezekana hawakukosea kama waliangalia only uefa champions league na europa league.
Acheni kumuongelea vibaya VVD....eti mashindano yote walikosea...sasa EPL mchezaji bora nani?,EPL beki bora nani?EPL mwenye cleanshit nying nani,EPL Aerial won nyingi nani?.....sema hujui mpira......Na UEFA inaangalia mashindano yote ya ulaya ndomana waliona anastahiliUefa kama waliangalia perfomance ya kwenye mashindano ya vilabu, i mean champions league na europa league anastahili japo napo kuna ukakasi kwangu mimi kuz Sadio Mane alistahili kuliko VVD ila kama waliangalia mashindano yote kwa msimu mzima basi walichemka vibaya mno kumpa VVD
kwa miaka miwili mfululizo luka modric alikuwa anaonyesha kiwango kikubwa sana cha soka lakini bahati mbaya wapiga kura walikuwa wanampuuza kwa makusudi kama walivyofanya kwa sneijder na andres iniesta,Last year tuzo aliyopewa Modric watu hawakuzungumza kwakuwa alipewa mwingine nje ya cr7 na Messi ila walisahau kama walitaka apewe mwenye mafanikio kwa kubeba makombe basi wangempa Varane.
Ulipoanza kuzungumzia makombe nikaacha kusoma barua yako hiyo....2010 mess alichukua UEFA????? 2013 Ronaldo alichukua UEFA????....lakini kipindi hicho wote walichukua .....UEFA nishirikisho la mpira wa Miguu barani ulayaWe ndio haujui na umeropoka.
UEFA inaangalia sana sana club bingwa ulaya.
Wanatizama je umechukua club bingwa ulaya ama laah?
Kama wanaangalia hadi team ya taifa messi ni Latino sio European inamaana watachukua takwim za Copa America walete Uefa?!
Uefa wanatizama uchukuaji vikombe.
Ndio maana VVD ameweza Kuwa mchezaji bora kwa vigezo vya kuchukua kombe la club bingwa ulaya.
Lakini km wangekua wanatizama over all performance bila kuchukua kombe basi messi angestahili .
Lakin kwasababu wanatizama makombe UEFA basi messi hiko kigezo kakosa.
Tukija kwa FiFa best player wanatizama performance nzima ya mchezaji.
Na ukiangalia hakuna mchezaji alomzidi messi sio ktk league wala uefa.
We jamaa ktk league Laliga wamemchambua league ilivyoisha ameshinda magoli ya faulo (free kick ) yanafika 13.
Nitajie mbuzi yeyote aliyefanya hvyo.
Ktk laliga hiyo hiyo ameshinda magoli ya kuiokoa barca ya comeback 10+,nitajie kunguni yeyote aliyefanya hivyo.
Halafu km kweli unaufatilia mpira messi toka acheze uefa kuna zile rates za performance ktk mechi.
Messi amekuwa akipata rate ya 8.0% mpk nusu fainali alipotolewa akawa amepata rate ya 6%.
Inamaana hakuna mchezaji alo maintain kiwango kama messi.
Hata van dijk ameshindwa kufanya hilo.
Messi achaneni naye ninyi achaneni naye kabbisa.
Huu msimu ni wake.
Na ballon d'or watampa tu.
mhh mitihani wa Taifa?? wapi hakuna hiyo kituAlishajijua hana mpinzani.
Kwan wakat wa kugaiwa zawad ktk mahafali kwan class teacher hakudokez kuhusu performance yako?
Takwimu takwimu
Kutokuwepo kwa Bernardo Silva hapo ni jambo la ajabu sana.
Sisi tunazungumzia current issue.Ulipoanza kuzungumzia makombe nikaacha kusoma barua yako hiyo....2010 mess alichukua UEFA????? 2013 Ronaldo alichukua UEFA????....lakini kipindi hicho wote walichukua .....UEFA nishirikisho la mpira wa Miguu barani ulaya
Kwaiyo wanasamia vitu vyote kuanzia ligi za ndani ya nchi mpaka timu za taifa kama ilivyo CAF hapa kwetu Afrika
Takwimu zooooote ambazo mess kazipata ni kutoka club level,hivyo hivyo kwa VVD takwimuzooote ni kwa club level,
sasa ukilinganisha takwimu zote kila mmoja kwa nafasi yake uwanjani UEFA wakaona VVD anastahili na wakampa,ila nazan kinachowasumbua ni hamjui beki anapimwa kwa vigezo vipi....labda nitajie stats za beki bora unamjuaje....mana mnakazana Na Mess mara assist,mara Goals,mara dribbles....sikatai mess mzuri, mnafahamu beki anapimwaje????
Mkuu mbona unarocha bhanaaa!!!mhh mitihani wa Taifa?? wapi hakuna hiyo kitu
Sasa wewe ndio hujaelewa. Matokeo ya mitihani utaijuwa lakini huwezi kujuwa ikiwa matokeo hayajatoka au kubandikwaMkuu mbona unarocha bhanaaa!!!
Kwani mitihani ya taifa huwez jua matokeo yako?
Uliwahi kwenda kuhudhuria kongamano hata moja la kielimu Dar?
Mm nilienda mwaka 2015,kuna wanafunzi walioongoza kimkoa ktk mitihani ya taifa na walioongoza kitaifa walikabidhiwa zawadi,je hao hawakujitambua km wameongoza?Tena walikua wakiinuka na kuwa na shamrashamra hata kabla majina hayajatajwa.
kwa miaka miwili mfululizo luka modric alikuwa anaonyesha kiwango kikubwa sana cha soka lakini bahati mbaya wapiga kura walikuwa wanampuuza kwa makusudi kama walivyofanya kwa sneijder na andres iniesta,
tatizo kubwa lipo kwa wapiga kura ambapo wengi wao wanaongozwa na mihemko ya kupenda jina la mchezaji na si kiwango cha mchezaji na mchango husika ndio maana si ajabu marcelo, sergio ramos wanachaguliwa kwenye timu bora wakati real madrid msimu uliopita waliruhusu magoli zaidi ya 40.
kituko chengine
eden hazard kwenye michuano ya europe msimu uliopita alianza mechi 4 tu lakini cha ajabu ndio mchezaji bora wa michuano ya europe league.
hazard eti amemzidi oliver giroud mwenye magoli 11 na assist 5.
hazard amemzidi luka jovic mwenye magoli 10 na assist 1.
baadhi ya nyakati mapenzi yakizidi hupelekea upumbavu wa makusudi
Acheni kumuongelea vibaya VVD....eti mashindano yote walikosea...sasa EPL mchezaji bora nani?,EPL beki bora nani?EPL mwenye cleanshit nying nani,EPL Aerial won nyingi nani?.....sema hujui mpira......Na UEFA inaangalia mashindano yote ya ulaya ndomana waliona anastahili