Ulipoanza kuzungumzia makombe nikaacha kusoma barua yako hiyo....2010 mess alichukua UEFA????? 2013 Ronaldo alichukua UEFA????....lakini kipindi hicho wote walichukua .....UEFA nishirikisho la mpira wa Miguu barani ulaya
Kwaiyo wanasamia vitu vyote kuanzia ligi za ndani ya nchi mpaka timu za taifa kama ilivyo CAF hapa kwetu Afrika
Takwimu zooooote ambazo mess kazipata ni kutoka club level,hivyo hivyo kwa VVD takwimuzooote ni kwa club level,
sasa ukilinganisha takwimu zote kila mmoja kwa nafasi yake uwanjani UEFA wakaona VVD anastahili na wakampa,ila nazan kinachowasumbua ni hamjui beki anapimwa kwa vigezo vipi....labda nitajie stats za beki bora unamjuaje....mana mnakazana Na Mess mara assist,mara Goals,mara dribbles....sikatai mess mzuri, mnafahamu beki anapimwaje????