The Best League in the world is back...Ligi kuu Uingereza ndiyo ligi bora zaidi kwa sasa duniani.

Dogo we Spain kulikuwa na ubaguzi wa kimajimbo ndo maana hata Timu ya Taifa ilikuwa haifanyi vizuri kutokana na wachezaji kutelewana, Hizo timu za EPL ni moto wa mabua, angali timu za Spain zimedominate mpira wa Ulaya kwa muda gani jiulize je timu za EPL zitalipa hilo gape?
 
Embu niambie mapungufu ya sarri in comparison kwa kocha mwengne ambaye sijamtaja ukitoa Klop, Chelsea wako kwenye semi finals ya Europa League and kwenye league wako nafasi ya nne, shida ya sarri ni nin?
han mbinu b ya ushindi baasi tu anabrbwa na uwezo bunafsi wa wachezaji wachache
 
Povu kibao nakati yote hayo unayoyamwaga hapa nawe huwa unayafanya, unaishije bila ya kunya na kujitawaza?

Endelea kujitekenya huku unacheka mwenyewe[emoji847]
 


Unakumbuka pia timu za EPL zilipigwa ban miaka 5 kutoshiriki makombe ya Ulaya au hujuwi hili? Timu za Spain zimeanza kudominate miaka ya hivi karibuni tu.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake, lingekuwa jambo la ajabu kwa timu za Spain kutawala soka la Ulaya kwa miaka na miaka.

Hii miaka kumi iliyopita hasa msimu wa 2008-2009 mpaka 2017-2018 soka la Ulaya lilikuwa katika umiliki wa klabu za Hispania pamoja na timu yao ya taifa. Ushahidi ni kama ifuatavyo:
  1. Mataji saba (7) ya klabu bingwa ya ulaya.
  2. Mataji sita (6) ya Kombe la washindi la ulaya.
  3. Mataji mawili ya Kombe la mataifa ya ulaya.
  4. Kombe la dunia moja (1).
  5. Wachezaji bora wa dunia na ulaya wametawala wao.
Uingereza wanaanza taratibu kutawala soka la Ulaya hii ni kutokana uwekezaji mkubwa unaofanyika katika soka lao.

Klabu za Spain zinaanza kushuka taratibu, Real Madrid wanajipanga, Barcelona nao wanatengeneza timu.Huu ni muda mzuri kwa timu za kiingereza kutawala soka la Ulaya.

Tathmini: Kusema soka la Uingereza ni bora kuliko Spain ni mapema mno kwani kuna mafanikio yaliyofikiwa na klabu pamoja na timu ya taifa za Spain yavunjwe kwa hii miaka kumi inayokuja hapo tunaweza kuongea lugha moja!!!

Acha muda uongee!!!
 
Mkuu under 17 hawaelewi chochote,hao akina Gaucho na Eto'o kwao ni kama stori za manabii na mitume!
Kweli mkuu.

Nakumbuka UEFA final ya mwaka 2006 kati ya Arsenal na Barca, akina Eto'o na Gaucho walisakata kabumbu hatari na kuibeba ndoo huku akina Thiery Henry, Adebayor, Bakari Sagna na wengineo wakiachwa midomo wazi.
 
Kweli mkuu.

Nakumbuka UEFA final ya mwaka 2006 kati ya Arsenal na Barca, akina Eto'o na Gaucho walisakata kabumbu hatari na kuibeba ndoo huku akina Thiery Henry, Adebayor, Bakari Sagna na wengineo wakiachwa midomo wazi.
Ndaga fijo nkamu gwangu mwifwa, tuko pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…