Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Dogo we Spain kulikuwa na ubaguzi wa kimajimbo ndo maana hata Timu ya Taifa ilikuwa haifanyi vizuri kutokana na wachezaji kutelewana, Hizo timu za EPL ni moto wa mabua, angali timu za Spain zimedominate mpira wa Ulaya kwa muda gani jiulize je timu za EPL zitalipa hilo gape?
Nyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.