Ndiyo maana nikasema athari za kutawaliwa na wazungu ndiyo zinazotufanya waafrika tuwahusishe wazungu na ukristo.Ni ukoloni kwani wazungu ndiyo waliotumia ukristu kututawala na kutupumbaza huku wakituibia rasilimali zetu. Walifuata nyayo za waarab.
Mambo ya kutungwa na madhara yake yakikaa miaka mingi na vizazi kupita watu wenye imani haba wanaingia kwenye huu mtego ila mi sishangai kwani vitabu vya kizushi vipo vingi kama kuna kitabu kimoja kinatambulika kama ''injili ya barnaba'' mwandishi anajifanya ni barnaba yule aliyekua anaongozana na paulo.Biblia sehemu ile ya kwanza yaan maandishi ya kiebrania pamoja na kiaram yamekuepo kwa kwa maelfu ya miaka sehemu ya pili ya maandishi ya kigiriki yamekuepo karibu miaka 2000 sasa na wachimbuzi wengi wa vitu vya kale wanazidi kuchimbua vitu vingi vya zamani sana vyenye habari fulani zinazounga mkono masimulizi ya biblia.kufikia ss kuna uthibitisho mwingi wa usahihi wa masimulizi ya biblia kuliko kitabu kingine chochote cha kale...tunawezaje kuamini kitabu cha juzi tu cha Tony Bushby ambacho masimulizi yake hayawezi kuthibitishwa pasipo kuacha shaka..kwa kifupi kwa maoni yangu masimulizi ya Tony Bushby ambayo anaaminisha watu kuwa ni sahihi ni hadithi za kutungwa kwa usanii kwa ustadi mkubwa lakn hazina uthibitisho.
Hoja zako zinaitaji akili kubwa sio ki 00 tuMimi natoka nje ya mada makusudi.
Hivi kama lengo la biblia ni kufundisha upendo na imani. Kwanini hao walioileta biblia wasiwafundishe na kuwaachia hayo mafundisho hao wanao wafunsha ili wakafanye sawa na mapenzi yao? Kwanini ujenge nyumba uwakusanye kila siku? Kwanini uwawekee utaratibu na kuwaongoza? Je binadamu hushurutishwa kuzaliwa? Je binadamu hushurutushwa kuishi? Nini maana ya maisha? Je maisha sio kua huru na kufanya utakacho? Je kunamtu mwenye maamuzi juu ya mwisho wa mwenzake kama ni hivyo kwanini watu hufa wakiwa huru?
Hii ina maana maisha ni uhuru hadi mwisho wake ni uhuru pia. Sasa basi kwanini uwalazimishe watu na kuwamonitor? Kwakuwajengea "kanisa" na kuawapa miongozo ya kuishi?
Mwenye hoja anipinge kwa hoja, usilete hisia hapa.
Mkuu ukisoma matthew(Matayo) 9:9, ni kisa cha Yesu alipomuana Matayo(Mathew) kakaa katika offisi ya mkusanya kodi,utaona kuwa alieandika hii stori sio Matayo(Mathew)Uko sahihi kuhusu idadi ya vitabu vinavyotokeza biblia ila hauko sahihi kuhusu walioandika vitabu hivyo kitabu cha Mathayo kimeandikwa na mathayo mwaka 41AD, marko kimeandikwa na marko 65AD, Yohana kimeandikwa na Yohana 98AD, matendo kimeandikwa na luka mwaka 61AD na vile vitabu vya kwanza vya biblia viliandikwa na musa kuanzia mwaka 1513BC hadi1473bc...hiyo dhana kuwa vitabu viliandikwa miaka 600 baada ya Yesu kufa sio kweli kwa maana Yesu au Issa alikufa mwaka wa 33AD miaka 8 baadae Mathayo anakamilisha kitabu chake yaan mwaka 41AD.
Ustaarabu umeanza Egypt, wafrika wa Egypt wameandika historia kwa kila walichokifanya,kila kitu kimeandikwa,Wazungu wanasema wagiriki ndio waliowaletea ustaarabu ulaya,Mgiriki kaiga kila kitu kutoka Egypt hao wanafilosofi wa Kihiriki wote wameiga kila kitu kutoka Egypt..Unafikiri waafrika hatukuandika historia kwa sababu gani?
Naona umeizungumzia Egypt tu,kwanini iwe Egypt tu?Ustaarabu umeanza Egypt, wafrika wa Egypt wameandika historia kwa kila walichokifanya,kila kitu kimeandikwa,Wazungu wanasema wagiriki ndio waliowaletea ustaarabu ulaya,Mgiriki kaiga kila kitu kutoka Egypt hao wanafilosofi wa Kihiriki wote wameiga kila kitu kutoka Egypt..
Kumbuka kuwa warumi(Roman empire) wametawala Egypt miaka mingi,wagiriki wamekaa hiyo nchi miaka mingi,watu wa mwanzo kuitafsiri biblia kutoa kihibrania(Arameic) lugha ya Isa(yesu) kwenda lugha nyengine ni wagiriki,Armenic na Kigiriki ni lugha zenye mfumo tafauti,akosa mengi yametokea katika tafsiri
Kuna watu,baadhi ya wazungu wanafikri yesu(Isa) alikuwa anazungumza kigiriki,...Mkuu sio kama waafrika hawajaandika historia,ukweli ni wazungu wamepindisha historia ya mwafrika,...
kama ulitaka hivyo yapo ya kwetu yenye majina yetu, kwani hujawahi kusikia kiboko ya chausiku? Au mshana? Sio wa jf Hiyo ni Dawa ya kihayaNilikuwa nauliza hivyo tu kama madawa tunayotumia yana majina yenye asili na afrika basi sikuwa na lengine.
nitajie criteria za kuipima dini ya ukweli mimi ninakwambia dini hizi ni feki sababu zimebeba visa vya uongo na kutungwa vingine havi make sense hata kwa akiri ya kawaida stori za wanyama kuongea si hadith za kawaida tu hizo lakini kwenye vitabu vya dini tunaona kama visa vya ukweliMkuu ukisema kitu fulani ni feki maana yake kuna original na ndiyo maana ukaweza kugundua feki yake,sasa unaweza kutuambia dini ya kweli ambayo ndiyo halisi ipo wapi au ilipotelea wapi?
Mkuu dini ya ukweli(original) ni wazi utakuwa unaijua na ndiyo maana ukaweza kutambua dini feki,ndiyo mie nikakuomba unitajie hiyo dini halisi ili tuache hizi feki.nitajie criteria za kuipima dini ya ukweli mimi ninakwambia dini hizi ni feki sababu zimebeba visa vya uongo na kutungwa vingine havi make sense hata kwa akiri ya kawaida stori za wanyama kuongea si hadith za kawaida tu hizo lakini kwenye vitabu vya dini tunaona kama visa vya ukweli
Mkuu usiropoke nani kakwambia ustaarabu umeanzia misri?!,b4 egypt was sumerian ni after 4000 years ndo wakaja wamisri napo ni kwa sababu ya migration tu ya wale wamesopotomian,usikalili na kujipendekeza.Wazungu nao wanaiga lakini ni wazuri wa kujifanya kila kitu wamegundua wao,ustaarabu wa wanzo duniani,kuanzia dini na mambo mengine umeanzia Egypt,wazungu mpaka leo hii wanapinga kuwa yale magofu ya Pyramid yamejengwa na mtu mweusi..
Ukiangalia na kutafakari,Nabii Musa ambae alizaliwa Egypt nae alikuwa mweusi,Nabii Ibrahim alikwenda Egypt na kupewa mke Hahar(Hajir) mke nae alikuwa mweusi,Hagar aliezaa na nabii Ibrahimu wakamzaa Ismael,.Isa(Yesu) alikuwa mweusi,ukisoma biblia wasifu wa Isa(Yesu) ni kama wasifu wahabeshi(Waithiopa),nikisema weusi hapa namanisha na wasifu wa wahabeshi au wasomali,hawa watu ni weusi lakini wana nywele kama za manyoya ya kondoo...
Historia ya dunia kaandika mzungu kwa kujipendela yeye ili binaadamu wengine wamuone yeye bora,tafakari
Sumarian ndio akina nani hao mkuu,Ustaarabu umeanza Egypt,Wagiriki ndio wakapeleka ustaarabu waliouona Egpt Ulaya..Mkuu usiropoke nani kakwambia ustaarabu umeanzia misri?!,b4 egypt was sumerian ni after 4000 years ndo wakaja wamisri napo ni kwa sababu ya migration tu ya wale wamesopotomian,usikalili na kujipendekeza.
Sawa nitakupa ushahidi wa vitabu vya kihistoria uende ukasome uongeze uelewa wa mambo ingawa ww pia umesema tu hiyo miaka 600 hujaleta ushahidi,kwa upande wa kwanini inasemwa kama ilivyoandika na Mathayo etc ni kwasababu biblia hizi tulizonaxo leo ni tafsiri hivyo watafsiri wao si mathayo ndio sababu wanakwambia kama alivyo...... sio kama nilivyo...hapo kinachokuchanganya unashindwa kutofautisha kilichotafsiriwa na original version.....tena kuhusu biblia ya king James hiyo ni tasfiri sio original version so kinachojulikana ni mwaka waliomaliza kutafsiri maandishi ya awali yaliokuwa na lugha ya kiebrania na kigiriki kwenda ktk kiingereza.Mkuu ukisoma matthew(Matayo) 9:9, ni kisa cha Yesu alipomuana Matayo(Mathew) kakaa katika offisi ya mkusanya kodi,utaona kuwa alieandika hii stori sio Matayo(Mathew)
Matayo 9:9 inasema -"Yesu alipoondoka hapo, alimwona mtu mmoja jina lake Mathayo akiwa ameketi katika ofisi ya kukusanyia kodi. Akamwambia, “Nifuate”. Mathayo akainuka, akamfuata"
Kama Matayo ndie alieandika biblia ya matayo angeliandika "Yesu aliponiona mimi,nimeketi katika ofisi ya kukusanyia kodi,akanambia "“Nifuate”,na mimi nikainuka,nikamfuata""... sio alipomuona mtu mmoja anaitwa Matayo(Mathew),..
Hii inaonyesha sop Mayato ni mtu mwengine alieandika stori,na ndio maana ukisoma biblia inasema "kutokana na Luka au Matayo..nk", "bible according to Mark or John... etc...."
Ukweli wenyewe haijulikana ni mwaka gani hivi vitabu vimeandikwa na nani kaandika,isiposipokuwa biblia ya "King James" hii inajulikana mwaka gani imeandikwa..
Unasema dhana ya kuwa biblia imeandikwa miaka 600 baada ya yesu sio kweli,basi lete ushahidi wako kuwa hiyo miaka uliyoiandika wewe ni kweli..
Mkuu hakuna asiejua kuwa Yesu alikuwa anazungumza lugha inayoitwa"Aramaic"unatakiwa ujue kuwa kiyahudi ni lugha yenye lafdhi("dialet") tafauti kama lugha nyengine,Yesu alikuwa anazumngumza kiyahudi (Jewish Palestinian Aramaic),Sawa nitakupa ushahidi wa vitabu vya kihistoria uende ukasome uongeze uelewa wa mambo ingawa ww pia umesema tu hiyo miaka 600 hujaleta ushahidi,kwa upande wa kwanini inasemwa kama ilivyoandika na Mathayo etc ni kwasababu biblia hizi tulizonaxo leo ni tafsiri hivyo watafsiri wao si mathayo ndio sababu wanakwambia kama alivyo...... sio kama nilivyo...hapo kinachokuchanganya unashindwa kutofautisha kilichotafsiriwa na original version.....tena kuhusu biblia ya king James hiyo ni tasfiri sio original version so kinachojulikana ni mwaka waliomaliza kutafsiri maandishi ya awali yaliokuwa na lugha ya kiebrania na kigiriki kwenda ktk kiingereza.
The book of wisdomMkuu wewe kwa usomi wako, biblia unaichukuliaje?
Mimi natoka nje ya mada makusudi.
Hivi kama lengo la biblia ni kufundisha upendo na imani. Kwanini hao walioileta biblia wasiwafundishe na kuwaachia hayo mafundisho hao wanao wafunsha ili wakafanye sawa na mapenzi yao? Kwanini ujenge nyumba uwakusanye kila siku? Kwanini uwawekee utaratibu na kuwaongoza? Je binadamu hushurutishwa kuzaliwa? Je binadamu hushurutushwa kuishi? Nini maana ya maisha? Je maisha sio kua huru na kufanya utakacho? Je kunamtu mwenye maamuzi juu ya mwisho wa mwenzake kama ni hivyo kwanini watu hufa wakiwa huru?
Hii ina maana maisha ni uhuru hadi mwisho wake ni uhuru pia. Sasa basi kwanini uwalazimishe watu na kuwamonitor? Kwakuwajengea "kanisa" na kuawapa miongozo ya kuishi?
Mwenye hoja anipinge kwa hoja, usilete hisia hapa.
Kwa Biblia hayo ndiyo maagizo. " Msiache kukusanyika...". Tangu mwanzo waumini "walikutana....". Kukutana kuna faida yake. Mnajengana, mnahudumiana kwa huduma mbalimbali. Mbinguni wanadamu watakuwa na maskani yso pamoja na Mungu. Ibada ni ya pamoja na wengine siyo ya mtu mmoja.
Sasa huyo twin brother wa YESU ametokea wapi?
Na kufa kwa kupigwa mawe haiendani na mafundisho ya "ufufuko" wa YESU... Kuna maana ya kibiblia kwa nini alisulubishwa.. Na kwa nini alifufuka..